Friday, 18 July 2014

The best photos of Madame and Martin Kadinda


‘Linah’ ameaga rasmi jumba la ‘THT’ na kuamia No Fake Zone ‘NFZ.

Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli zake nchini Afrika Kusini.
Akizungumza na Ijumaa msemaji wa kampuni hiyo aliyewahi kushiriki Shindano la Big Brother Africa 2003, Abergail Brigette Plaatjies ‘Abby’ alisema wamemchukuwa Linah ili kuendeleza kipaji chake kimataifa.

Maneno siyo kwenye khanga tu! hata...........!!
source:dailymail.co.uk

Passenger who joked on Facebook before boarding jet now feared dead.

This is believed to be the tragic final Facebook post of a passenger on board the Malaysia Airlines flight shot down in the Ukraine.
A Dutch man posted a picture of what is believed to be flight MH17 and a caption which roughly translates as "if the plane disappears, this is what it looks like".
It is believe to be a joke in reference to Malaysia Airlines MH370 which disappeared on March 8 with 239 people on board.
Initially, friends responded with messages laughing at the 'joke'.
"Happy holidays! No crazy things though that's the gods requests!" wrote one.
But seven hours later, news broke that a Malaysia Airlines plane travelling from Amsterdam to Kuala Lumpur has been shot down in Eastern Ukraine.

Mwalimu aliyetuhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi asimulia

Mwalimu Festo Twange, aliyeshambuliwa kwa mawe akituhumiwa kuua mwanafunzi kwa kumchapa viboko, amehadithia jinsi mkasa huo uliotaka kutoa uhai wake ulivyo mpata.

Akizungumza na NIPASHE mjini hapa jana, mwalimu huyo alisema siku ya tukio alitoka nyumbani kwake akiwa amechelewa kwa sababu alikuwa akimhudumia ndugu yake mgonjwa katika hospitali ya serikali ya Somanda mjini Bariadi.

Alisema alifika shuleni akiwa amechelewa na kusaini kitabu cha maudhurio na kisha kwenda moja kwa moja darasa la sita kufundisha somo la hisabati.

Alisema akiwa darasani ghafla alifuatwa na walimu wenzake na kuambiwa kuwa anatafutwa na Sungusungu kwa madai ya kumcharaza viboko mwanafunzi wake na kusababisha kifo chake alipofika nyumbani.

Huku akionyesha hali yake kuendelea vizuri hospitalini hapo, alisema baada ya kupata taarifa hiyo alikimbilia ofisi ya Mwalimu Mkuu kwa lengo la kujificha kunusuru adhabu za walinzi hao.

Picha za Mabaki ya ndege shirika la Malaysia iliyoanguka jana!


Andre Johnson Aelezea kwa nini alikata uume wake!

Sasa basi emetoa sababu zake akisema alikuwa na akili timamu alipokuwa anafanya hivyo.
Johnson, aliishangaza jamii ya wanamuziki wa kizazi kipya, kufuatia kitendo chake cha kukata uume wake Kaskazini mwa Hollywood mwezi Aprili. Madaktari walishindwa kunguanisha sehemu aliyoikata na sehemu nyeti ya mwili wake.
Tangu hapo alikimya kwa miezi miwili akipokea matibabu.
Lakini aliamua wiki hii kujieleza kwa nini alichukua hatua hiyo na kuambia kituo cha televisheni cha E! nchini Marekani:''Ndio nilikuwa nimetumia dawa za kulevya , lakini nilikuwa najifahamu.''
'Mimi sio mwanadamu'

Goma la ukweli!