Saturday, 31 December 2011
DETHA UNGELE WISHING ALL PEOPLE FABULOUS 2012!!!!!!!.
When the mid-nite bell rings tonight..
Let it signify new and better things for you,
let it signify a realisation of all things you wish for,
Let it signify a year of courage and believes,
Wishing you a very..very..very prosperious 2012
MRISHO MPOTO, HESHIMA KUBWA KWA KAZI NZURI UNAYOIFANYA.
SAMAHANI WANANGU: NI WIMBO WENYE UJUMBE KWA JAMII, UMASKINI LINI UTAISHA? NA VIONGOZI WETU LINI WATAACHA UBINAFSI? 2012 MUNGU AWASAIDIE WABADILIKE.GOD BLESS AFRICA
Thursday, 29 December 2011
WEMA LULU KUTOKA PAMOJA!
MSANII Suleiman Said (Barafu) anatarajia kuachia filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Houseboy’ Januari mwakani, huku wasanii Wema Sepetu na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakiibeba wakiwa miongoni mwa wahusika wakuu.
Barafu alisema tayari filamu hiyo ipo katika hatua za mwisho za kuimalizia na ifikapo Januari, mashabiki wategemee mambo mazuri kwa kuwa imebeba mambo mengi ya kujifunza.
Akidokeza kwa kifupi kilichochezwa katika movie hii, Barafu anasema kuna shambaboy mmoja aliingia katika familia ya watu na kujikuta akiwapachika mimba; mama, mtoto na dada yake ambapo baadaye anatoboa siri iliyomfanya kutenda kosa hilo la kidhalimu.
Wednesday, 28 December 2011
COLOUR BLOCKING!!!!!!!!!
WELCOME 2012 IN STYLE WITH US @ THE BRAND NEW TALKED ABOUT SPOT IN TOWN THE PIT STOP
WELCOME 2012 IN STYLE WITH US @ THE BRAND NEW TALKED ABOUT SPOT IN TOWN THE PIT STOP 'UWANJA WA NYUMBANI, 721 RIPPLE ROAD BARKING IG11 0SN GOOD FOOD||GOOD MUSIC||TOP DJ'S||GREAT ATMOSPHERE||COOL PEOPLE|| DRESS TO IMPRESS ENTRY: £10 B4 MIDNIGHT MORE AFTER TELL A FRIEND TO TELL A FRIEND & C U THERE *************************************** URBAN PULSE CREATIVE IKISHIRIKIANA NA MISS JESTINA GEORGE BLOG WANAPENDA KUWAALIKA WADAU WOTE KATIKA PARTY YA KUUAGA MWAKA 2011 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2012 JIJINI LONDON SIKU JUMAMOSI 31 DECEMBER 2011 MAHALI PIT STOP 'UWANJA WA NYUMBANI' RIPPLE ROAD 1G11 0SN KUANZIA 10PM-5AM KIINGILIO NI £10.00 KABLA YA SAA SITA USIKU KARIBUNI WOTE TUUSHEREKEE NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2012 TAFADHALI MJULISHE NA MWENZAKO ASANTENI URBAN PULSE NA MISS JESTINA GEORGE
Monday, 26 December 2011
HAPPY BIRTHDAY,KIKI ZIMBA, MASDA HOZA,MASANJA MKANDAMIZAJI.
Friday, 23 December 2011
" MWANAMKE JIKO" KUTANA NA MAPISHI YA LILIAN TAIRO
MWANAMKE JIKO NIMEKUKUBALI ,SHURTI VIMENOGA NA WEWE MWENYEWE PENDEZA MBAYA, "AMA KWELI MUNGU KAKUJALIA"
HAPPY BIRTHDAY AISHAROSE COBBY MBELWA
Thursday, 22 December 2011
HAPPY BIRTHDAY ANDREW FERUZI A.K MKAZUZU
SHY-ROSE BHANJI A.K MWANAHARAKATI AONYESHA UPENDO KWA JAMII
HONGERA SANA SHY-ROSE BHANJI UPENDO ULIONAO KWA JAMII NA KUONYESHA WA JUU NA WACHINI WOTE WAKO,MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUZIDISHIA.
HALI YA MAFURIKO YATISHA DAR-ES-SALAAM
POLENI SANA NDUGU ZANGU KWA BALAA ILI LA MAFURIKO, NA WALIOPOTEZA MAISHA MUNGU UWAREHEMU WAPUMZIKE KWA AMANI NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE,AMEN
Wednesday, 21 December 2011
WANAWAKE WALA NONDO KWA MAZINGIRA MAGUMU
HILDA EDWIN
RITHA SIAME MTAWA
LAURA BANDUKA
"GOD IS GREAT ALL THE TIME" pamoja na magumu mliyokuwanayo na watoto mume na kazi za ndani hamkukata tamaa mliweza kumaliza course zenu,.HONGERENI SANA NA MUNGU HAKUWAACHA ALIWAPIGANIA, inatia moyo wanawake wanaopigana kimaisha na kutokata tamaa kutokana mazingira magumu yanayowakabili.
GOD BLESS ALL
RITHA SIAME MTAWA
LAURA BANDUKA
"GOD IS GREAT ALL THE TIME" pamoja na magumu mliyokuwanayo na watoto mume na kazi za ndani hamkukata tamaa mliweza kumaliza course zenu,.HONGERENI SANA NA MUNGU HAKUWAACHA ALIWAPIGANIA, inatia moyo wanawake wanaopigana kimaisha na kutokata tamaa kutokana mazingira magumu yanayowakabili.
GOD BLESS ALL
Tuesday, 20 December 2011
HAPPY BIRTHDAY BEATRICE MASALU MANYENYE
VUNJA MIFUPA ANGALI MENO BADO IPOOOOOO.......
Subscribe to:
Posts (Atom)


















































