YASMIN
Kick off your shoes,take a break,Crank the tunes,Dance & Shake,light the candles,cut the cake .All Make its a day,that's simply Great!!
All those worlds where in practical during "Jasmine birthday. Through children's looks and adults we can say the birthday party was fabulous and amazing. " HAPPY BIRTHDAY JASMIN.
Thursday, 30 June 2011
YASMIN'S BIRTHDAY PARTY!!!!!!!!!!!!
SIWEZI KUCHUJA WALA KUFULIA NA IRENE UWOYA!!!!!!!!!!!!
Super star wa Tollwood movie, mwadada mrembo, mwenye mvuto na aliye umbika haswa anaye kwenda kwa jina la Irene Uwoya ametamka wazi kua pamoja na kujifungua mtoto wa kiume, awezi kuchuja wala kufulia. Maneneo hayo ameyasema baada ya kupotea muda mrefu kwenye uigizaji . Kwa waliopata bahati ya kumuona karibuni hasa katika arobaini ya mwanaye anaoneka kuvutia zaidi kuliko alivyokua kabla ya kujifungua.
WAKINAMAMA TUWE WAPIGANAJI KIAMISHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Christine Lagarde amechaguliwa kuwa mwanamama wa kwanza kuongoza taasisi kubwa inayo jihusisha na fedha,IMF.(International Monetary Fund.
Mwanamama ambaye kabla alikua waziri wa fedha wa France ataanza kazi rasmi 5 July 2011 akipewa mkataba wa miaka 5. Hi ina ongeza wigo kwa wakinamama kuongoza taasisi kubwa kama IMF, UN na pia nchi. Hongera kwa wakinamama wote wanao pigana na maisha ili wajiendeshe wenyewe bila msaada wa waume zao au kupata nafasi za upendeleo.
Mwanamama ambaye kabla alikua waziri wa fedha wa France ataanza kazi rasmi 5 July 2011 akipewa mkataba wa miaka 5. Hi ina ongeza wigo kwa wakinamama kuongoza taasisi kubwa kama IMF, UN na pia nchi. Hongera kwa wakinamama wote wanao pigana na maisha ili wajiendeshe wenyewe bila msaada wa waume zao au kupata nafasi za upendeleo.
NGOMA YA ASILI YA COMORO!!!!!!!!!!!!!!
Kikundi cha ngoma ya asili ya Comoro kikitumbuiza wakati wa hafla ya chakula cha usiku alichoandaliwa mke wa rais, mama Salma Kikwete na mwenyeji wake mama Hadidja Aboubacar Ikililoi Dhoinine, Ikulu, Comoro,
MIGOGORO YA ARDHI INAHATARISHA AMANI {NCCR}!!!!!!!!!!!
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema migogoro ya ardhi inayoendelea sehemu mbalimbali nchini isipopatiwa ufumbuzi wa haraka itahatarisha amani na kufanya nchi isitawalike.
Pia chama hicho kimemwandikia Rais Jakaya Kikwete barua ya kumwelezea manyanyaso na mateso wanayopata wananchi wanaoishi katika bonde la Kiru, lililopo Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara kutokana na umilikishwaji wa ardhi kwa wawekezaji kinyume cha sheria.
Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia, alisema kwa kiasi kikubwa hali hiyo inasababishwa na wanasiasa kudharau wajibu wa wataalamu na kuingiza siasa katika kila jambo.
Alisema kutokana na hali hiyo ipo siku historia ya nchi itakuja kuwahukumu watu kwa matendo yao mabaya yenye dhamira ya kuliangamiza taifa kwa kigezo cha kulinda amani isiyokuwepo.
“Watanzania tuna mawazo mgando, leo hii hatufikiri vizuri, kwani tunashuhudia mambo ya kitaalamu yakifanywa kisiasa, hatuheshimu wataalamu kwa kufikiri sisi wanasiasa tuna mawazo kuwazidi wataalamu wetu hii si haki hata kidogo,” alisema Mbatia.
Alisema Tanzania hivi sasa ina vita kubwa ya maneno kutoka kwa watu wanaodhulumiwa haki zao, hali inayosababisha muda mwingi kutumika kufuatilia haki hizo na kuacha kufanya kazi itakayoweza kuboresha maisha ya wananchi hao.
Alisema ukiukwaji wa haki za binadamu katika bonde la Kiru ni mkubwa tofauti na watu wanavyofikiria, kwani maisha ya wakazi hao na wawekezaji waliopo katika maeneo hayo yamekuwa ni ya kuviziana kutokana na uhasama unaosababishwa na migogoro ya ardhi.
Alisema wakazi wa maeneo hayo wako katika simanzi nzito ya kutokujua nani atawasaidia na kumuomba Rais Kikwete kutumia mamlaka yake kuunda tume itakayoshughulikia suala hilo na kutoa maamuzi ya haki kwa anayestahili.
MTOTO AFA KWA KUTUMBUKIA SHIMONI!!!!!!!!
WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti yaliyotokea jijini Dar es Salaam, likiwamo la mtoto kutumbukia katika shimo la maji machafu.
Akielezea matukio hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile, alisema mtoto, Said Karim (6), mkazi wa Tabata –Mawenzi, alifariki dunia juzi, baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji machafu.
Alisema mtoto huyo alitumwa kwenda dukani na kwa bahati mbaya alitumbukia katika shimo hilo. Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Amana.
Katika tukio jingine, mwendesha pikipiki, Idi Kibwana (29) mkazi wa Tabata Kimanga amefariki dunia baada ya kugongwa na gari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, alisema tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa nane mchana katika barabara ya New Bagamoyo.
Alisema gari T 794 BEG Coaster lililokuwa likiendeshwa na Adolph Kauma (31) liligonga pikipiki ambayo haikufahamika namba zake na kusababisha kifo cha dereva huyo.
Dereva aliyesababisha ajali hiyo anashikiliwa na polisi, mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.
Wednesday, 29 June 2011
RED&WHITE PARTY NDANI YA FACECLUB READING!!!!!!!!!!!!!!!!!
UPGRADE YOUR SOCIAL LIFE ||CELEBRATE YOUR BDAY || MEET NEW PEOPLE || MAKE NEW FRIENDS || NETWORK || DRINK AND PARTY THE reason WHY BONGODEEJAYS Proudly presents RED & WHITE PARTY on Sat 23rd july 2011 @ FACE CLUB READING rg1 7je entry £5 only for ladies & Gents Dressed in Red or White £7 otherwise,time 10pm-4.30am attractions free 1st drinks 4 the first 10 ladies, Wall for Photo Opportunities trust me Everything We Do We Do It Big THE reason WHY LADIES Come out Looking hot and sexy>>Gents Looking Fly deejays Richie,Silver & Farid will be on the 1&2 playing u all the hits!you allready know where to be on Sat 23rd july WE GUARANTEE YOU A SHOW TO REMEMBER see you there.......!
MZEE OJWANG NDIO MFANO WA MJALUO!!!!!!!!!!!!!
MUIGIZAJI wa vichekesho, Twahir Shabani ‘Mjaluo’ au ‘Rais wa wacheza viduku’, ametoboa siri kuwa aliyemvutia kuingia katika tasnia hii ya uigizaji wa vichekesho ni mwigizaji wa vitimbi wa nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Mzee Ojwang.
kuwa muigizaji huyo alikuwa akimfuatilia tangu mdogo, na kila kipindi chao kilipokuwa kikimalizika naye huanza kuongea kama mzee huyo, na kadiri siku zilivyozidi kwenda akajikuta uigizaji wake unakuwa na hatimaye kuweza kuongea kama yeye.
Hata hivyo Mjaluo ambaye jina lake lilianza kukua kupitia mashindano ya kutafuta wachekeshaji katika kituo cha Eatv, na kubahatika kuingia kumi bora, likuwa akiigiza kama mlevi, lakini kutokana na sasa kufanya kazi katika Kampuni ya Al-rihamy, anasema alilazimika kubadili uigizaji huo ili asifanane na muigizaji Masele ambaye wapo naye.
Kuhusu kutoa filamu ya kawaida ama ya vichekesho mwenyewe Mjaluo anasema bado hajafikiria hilo kwa sasa, kwani lengo lake ni kuja na kitu tofauti, hivyo bado anajifunza kutoka kwa wasanii wengine.
JE MWAJUA JINA LA MTOTO WA JOYCE KILIA?
Joyce Kilia dada aliye jipatia umaarufu kutoka na vipindi vya runinga nchini Tanzania cha “Bongo Movie na Wanawake live vinavyo rusha na kituo cha EATV amefanikiwa kujifungua salama moto wa kiume . Mtoto huyo aliye jifungua kupita hospitali ya Marie Stopes tarehe 11 june 2011 anakwenda kwa jina la Lincolin Henry Kileo.
ALIKIBA APATA AJALI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania na pande zote za East Africa kama si ulimwengu mzima "ALLY KIBA", amepata ajal eneo la Mikumi Morogoro akiwa anatokea kwenye shoo mkoani Mbeya. Mwanamuziki huyo aliye jipatia umaarufu hasa baada ya kushilikishwa katika wimbo wa "Hands across the World" na gwiji la muziki kutoka pande za Obama, R Kell. Taarifa zina sema hajali haikua mbaya na Kiba hakuumia.
MVUTO WA MWADADA KIM KADARSH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa muda mwingi Kim Kadarsh amekua akitajwa dunia nzima kua ni mmoja wa wanawake wenye mvuto wa kimahaba hasa kwa umbo lake. Kim ana vipaji lukuki ikiwemo kuimba na kuigiza. Pia kwa wale wanaume waliopata kua na mahusiano naye ya kimapenzi walidiliki kutoa ushuda kua mwanadada anajua "majambozi" akiwemo mwanandinga tajili duniani Christiano Ronaldo
RIHANNA NA MAVAZI YA JUKWAANI!!!!!!!!!!!
Tuesday, 28 June 2011
UKAPERA KWA KHERII!!!!!!!!!!!!!!!!
Shadrack Nsajigwa ambaye ni ninaodha wa timu ya soka ya taifa kauaga ukapera, baada kufunga ndoa na bi janny mwamasangula katika kanisa la morovian mburahati na tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa mgulani JKT.
WANAMUZIKI WA NJE WAPAMBA TANZANIA!!!!!!!!!!!!!!
Shaggy alivyowasha moto na kupagaisha kwenye uzinduzi wa fiesta 2011 mwanza. Onyesho hilo lilisindikizwa na wanamuziki wazawa wa bongo flavor kama Mwana FA, Lina,Banaba pomoja na Mwasiti. Baadhi ya nyimbo alizo imba ni "Angle", Strength for the woman na "Was me
MWANAMUZIKI ELEPHANT MAN ALIVYOPAGAISHA BONGO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwanamuziki mwenye vituko hasa kwa mtindo wa kupaka rangi nywele zake, toka nchini Jamaica, Elephant Man amefunika kwenye tamasha la Str8Muzik Beach Party 2011 jijini Dar es salaam kwenye klabu ya Mbalamwezi Beach.
Nyota huyo, mwimbaji wa Dancehall Reggae, Elephant Man ambaye kimataifa hujulikana kama Energy God (Mungu wa Nguvu) alipanda jukwaani saa 4:00 usiku na kutoa shoo ya kufa mtu iliyo wafanya mashabiki kila mmoja kucheze na wengine kumfuatisha alivyo kua ana imba.
Mwisho akielekea kumaliza shoo aliishia kusema “ Africa ni nzuri, Tanzania ni kubwa, kuna wanawake warembo (wadada wa Kitanzania mna lijua hilo). Pia alitambua umaarufu wa Buju Bantoni, anayetumikia kifungo jela nchini Jamaica pamoja na kuimba wimbo uitwao “We are the World” katika aina peke ya “sweet reggae” akihitimisha makamuzi yaliyodumu kwa saa moja na nusu.
Nyota huyo, mwimbaji wa Dancehall Reggae, Elephant Man ambaye kimataifa hujulikana kama Energy God (Mungu wa Nguvu) alipanda jukwaani saa 4:00 usiku na kutoa shoo ya kufa mtu iliyo wafanya mashabiki kila mmoja kucheze na wengine kumfuatisha alivyo kua ana imba.
Mwisho akielekea kumaliza shoo aliishia kusema “ Africa ni nzuri, Tanzania ni kubwa, kuna wanawake warembo (wadada wa Kitanzania mna lijua hilo). Pia alitambua umaarufu wa Buju Bantoni, anayetumikia kifungo jela nchini Jamaica pamoja na kuimba wimbo uitwao “We are the World” katika aina peke ya “sweet reggae” akihitimisha makamuzi yaliyodumu kwa saa moja na nusu.
Monday, 27 June 2011
JE NI KWELI WEMA SEPETU ANA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE?!!!!!!!!!!!!
Wema Abrahamu Sepetu akiwa na Keti muigizaji wa vipind vya TV kilicho itwa mambo hayo aliye tamba katika miaka ya 90’S. Wakiwa nje ya ukumbi wa bunge kalibuni alipo tembelea Bunge.
Katika ziara hiyo Wema alitangaza nia ya kugombea Ubunge siku za usoni. Hii ina maana kama akifanikiwa atakua ameongewa wigo wa wasanii kuwakilisha wananchi Bungeni. Mmoja wa msanii wa bongo flavor ambaye sasa ni mbunge ni Joseph Mbilinyi a.k Mr Sugu.
Katika ziara hiyo Wema alitangaza nia ya kugombea Ubunge siku za usoni. Hii ina maana kama akifanikiwa atakua ameongewa wigo wa wasanii kuwakilisha wananchi Bungeni. Mmoja wa msanii wa bongo flavor ambaye sasa ni mbunge ni Joseph Mbilinyi a.k Mr Sugu.
BLACK EAGLES ACROBAT WAITAMBULISHA TANZANIA!!!!!
ALLY KASELE MANAGER WA BLACK EAGLE ACROB
Inatia moyo pale unapoona mtanzania ambaye yuko nje ya nchi na anaendeleza sanaa ya nyumbani au kutambulisha nchi yake kwa kipaji chake, Ally kasele na kikundi chote cha BLACK EAGLES ACROBAT wanatoka TANZANIA wanaishi UNITED KINGDOM
GOD BLESS BLACK EAGLES ACROBAT!!!!!!!!!!!
HIGHEST PAID FOOTBALLERS!!!!!!!!!!!!!!
DAVID BECKHAM(32MILLION EUROS)
LIONEL MESSI(28MILLION EUROS)
RONALDINHO(19MILLION EUROS)
CRISTIANO RONALDO(18MILLION EUROS)
THIERRY HENRY (17MILLION EUROS)
KAKA(I5MILLION EUROS)
ZIATAN IBRAHIMMOVIC(14MILLION EUROS)
WAYNE ROONEY(13MILLION EUROS)
FRANK LAMPARD(13MILLION EUROS)
JOHN TERRY (11MILLION EUROS)
LIONEL MESSI(28MILLION EUROS)
RONALDINHO(19MILLION EUROS)
CRISTIANO RONALDO(18MILLION EUROS)
THIERRY HENRY (17MILLION EUROS)
KAKA(I5MILLION EUROS)
ZIATAN IBRAHIMMOVIC(14MILLION EUROS)
WAYNE ROONEY(13MILLION EUROS)
FRANK LAMPARD(13MILLION EUROS)
JOHN TERRY (11MILLION EUROS)
Friday, 24 June 2011
TANGAZO LA MSIBA LEICESTER UINGEREZA...!!!!!!!!!!!!!!!
Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote;
Kwa masikitiko makubwa tunawataarifu ya kwamba, tumepokea habari za msiba wa mwenzetu EDGAR KILEKE (KAKA DICK). Msiba umetokea leo huko Leicester Uingereza. Marehemu Edgar amefariki baada ya kuugua cancer ya Ini.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kueleke anyumbani kwa mazishi inafanyika. Tunawaomba wote, kwa moyo wa upendo na utoaji, tusaidiane ili tukamilishe maandalizi haya na mwenzetu ili aweze kwenda kupumzishwa kwenye makao yake ya milele huko nyumbani Tanzania. Tunatanguliza shukurani za dhati kwa michango yenu. Wanaoweza kuwatembelea wafiwa na kutoa pole mnakaribishwa na msiba upo kwenye address hapo chini:
89 Stevenson Drive
LE3 9AD
Leicester
Kwa maelezo ya ziada wasiliana na;
Asaa Ali 07951644936
au
Fauzia Musa 07943962628
Kama hutaweza kufika Leicester, unaweza kutuma mchango wako kwa:
A A KAKOZI
Account Number 85065992
Sort Code: 09-01-27
Bank: Santander
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
Asanteni.
R.I.P EDGAR!!
R.I.P EDGAR!!
--
Be Cheerful! GOD loves you more than you'll ever know!
--
Be Cheerful! GOD loves you more than you'll ever know!
MWANDISHI ADHALILISHWA NA MASHABIKI WA MPIRA DRC!!!!!!!!!!!!!!!!
Mashabiki wa timu DC Motema Pembe imemdhalilisha Mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la JamboLeo, Asha Kigundula wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba na DC Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jumapili iliyopita.
Mwandishi huyo pamoja na Watanzania wengine waliokuwa Kinshasa, DRC kushuhudia mchezo wa Simba na DC Motema Pembe kwenye Uwanja wa Mashujaa ‘Stade des Martyrs’ walifanyiwa fujo ambazo hatukutarajia kama mashabiki wenye busara wangeweza kuzifanya.
Cha kusikitisha zaidi ni hatua ya mashabiki hao kumdhalilisha mwandishi huyo bila kujali utu wake, heshima yake na thamani yake, kisa tu ni Mtanzania ambaye alikuwa uwanjani hapo kushuhudia timu ya Tanzania ikicheza.
Habari zilizotolewa na watu walioshuhudia mkasa huo walisema kwamba, mwandishi huyo alikuwa anatakwenda msalani na ndipo mashabiki hao walipoanza kumzonga na ghafla akatokea mtu mmoja akajifanya msamalia kumbe muongo, akampeleka hadi msalani lakini kilichofuata walipofika huko, akaamuriwa ajisaidie bila kufunga mlango halafu akapekuliwa kila mahali mwilini mwake na kuvuliwa flana alovaa ambayo ilikuwa ni jezi ya Simba FS.
CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimesikitishwa na kinalaani tukio.
Thursday, 23 June 2011
US FIRST LADY AKIWA SOUTH AFRICA
NELSON MANDELA NA MICHELE OBAMA,MALIA NA SASHA
Us first lady michele obama akiwa south africa june 20 katka mwanzo ziala yake sub sahara africa akiwa amefuatana na watoto wake malia na sasha.Madhumuni ya ziara yake kupromote YOUTH LEADERSHIP,EDUCATION,HIV/AIDS PREVENTION PROGRAME NA KUTEMBELEA NELSON MANDELA FOUNDATION.
Subscribe to:
Posts (Atom)
















































