Thursday, 15 March 2012

WAMAMA WAJAWAZITO WANAVYOTESEKA MAHOSPITALINI!!!!!

Wakina mama wajawazito wakiwa wamelala kitanda kimoja watu watatu mpaka watano, ni jambo la aibu kwani madai makubwa ni nchi maskini lakini wabunge na viongozi mbalimali  wanapata posho,  sherehe au makampeni yanayoghalimu mapesa wakati wamama kama hawa wanateseka bila sababu,Uchungu wa kuzaa unauma hakuna mfano wadauuu jifikilieni jinsi hao wamama wanvyoteseka  hopo chini wakisubilia ule uchungu ambao hauna mfano,swali kwa wadauuu hatua gani ichukuliwe ili kuboresha huduma nzuri?

No comments:

Post a Comment