Ze -utamu (ze-uchungu) ni blog ambayo ilikuwa inaongelea maisha ya watu kwa mtindo wa kuzalilisha ,kashfa na mengineyo.Blog hii iliweza kusababisha machafuko kwenye ndoa za watu,wachumba kuachana pia na tafaruku baina ya marafiki na ndugu na majamaa,mwenye roho ndogo ungeweza hata kujiua kwani watu walikuwa wanaaibishwa na kuonekana dunia nzima, na uchonganishi ulikuwa mstari wa mbele.
Cha kushangaza zaidi ni pale watu jinsi walivyokuwa wanamsaidia kumpa habari za uchonganishi ,kashfa na kudhalilisha watu, kama watu wasingemsaidia isingefika pale ilipokuwa na hata watu wasingiumia kwa kiasi kile.
SWALI KWA WADAU NANI WA KULAUMIWA ZAIDI, KATI MWENYE BLOG NA WATOA HABARI HIZO ZA KASHFA,UCHONGANISHI,KUZALILISHA NA MENGINEYO.
DUNIA KUJIFUNZA NA KUELIMISHA KAZI KWAKO MDAU
Wednesday, 29 February 2012
TULIJIIFUNZA NINI NA BLOG YA ZE-UTAMU(ZE-UCHUNGU).
DUKA LA BIDHAA ZA NGOZI LAWAKA MOTO CHINA!!!!!!!
Duka la bidhaa za ngozi liliwaka moto nchini china Zhengzhou,Zima- moto waliweza kufika kwenye tukio ilo na kuweza kuuzima moto huo.
NEWEST DISNEY CRUISE LINE SHIP ARRIVES IN NEW YORK!!!
In this handout image provided by Disney Parks, DISNEY CRUISE LINE MAKES INAUGURAL VISIT TO NEW YORK: the Disney Fantasy, the newest ship of Disney Cruise Line ship, sails past the Manhattan skyline after traveling nearly 3,800 miles across the Atlantic Ocean from Bremerhaven, Germany. The 4,000-passenger Disney Fantasy will be christened in New York on March 1, then sail to her home port of Port Canaveral, Florida. With a maiden voyage on March 31, the Disney Fantasy will sail seven-night cruises to the Caribbean and Disney's private island, Castaway Cay.
WANANCHI WA DOMINICAN WALIVYOSHEREKEA SIKUKUU YA UHURU WAO!!
Nchi ya Dominican ilipata uhuru mwaka 1844 na wananchi walisherekea sikukuu hii na imetimiza karne 168,pia nchi ya Dominican inategemea kilimo na utalii kiuchumi.
KIM KARDASHIAN RENT OUT HER BEVERLY HILLS!!!
BEVERLY HILLS, CALIFORNIA . Kim Kardashian has reportedly rented out this Beverly Hills estate that had been listed for lease at $40,000 per month. The reality star had been terrified of stalkers who had appeared at her former Beverly Hills home that she had purchased in March of 2010 for just under $5 million. Kardashian had to call police last month after a strange man carrying luggage rang the doorbell at her Beverly Hills home insisting Kim invited him to stay with her.Built i08, t8, the 6,700 square foot contemporary home has 4 bedroom and 6 bathrooms. According to the realtors description the custom built home has a Craftsman-Asian fused architecture with a lush, tropical landscape surrounding an infinity pool with valley & mountain views.
Tuesday, 28 February 2012
KWA NINI KAZI YA MABOX INADHARAULIKA?????
Kazi ya mabox inadharaulika sana,inaonekana kuwa ni kazi ya aibu,nchi zilizoendelea zina heshimu kazi ya aina yoyote ,kazi ni kazi na mchagua jembe si mkulima,kazi hii ukiiheshimu na kuwa na mipango mizuri itakusidia sana, ifanye kwa malengo utaona matunda yake,tujaribu kuiga nchi zilizoendelea kwa kueshimu kazi na kuwaeshimu wafanyaji wa kazi hizo na kwa wale ambao wako ughaibuni, fikilieni mshahara mnaopata na kulinganisha na kima cha chini cha mshahara wa nchi za afrika,kazi hii inaweza kukuendeleza kielimu na hata kimaisha (kupata ada ya shule au mtaji),na kikubwa zaidi kimaisha ni kujituma,malengo,mipango na n.k.
DUNIA NI KUJIFUNZA AU KUELIMISHANA, SIJUI MDAU UNASEMAJE?
KUTANA NA STYLE MOTO MOTO ZA FARHA SULTAN!!
SHEREHE YA KUMUAGA ARAFA JECHA WASHINGTON!!
Ndugu na marafiki na majirani walijumuika katika sherehe ya kumuaga Arafa jecha,ambaye alikwenda kutembelea familia yake na kabla hajarudi london waliamua kumfanyia sherehe.MDAUUU!! ULIKUWA MWENDO WA MADOLLARS TU.shukrani sana ziwafikie TANZANIA SEATLE kwa picha
NIGERIA EX- GOVERNOR "STOLE MILLIONS"
Former Governor of Delta State, Chief James Ibori, on Monday, in a British Court pleaded guilty to charges of money-laundering, conspiring to defraud and obtaining a money transfer by fraud, officials said.
Ibori, 53, entered his plea at Southwark Crown Court. He is to be sentenced on April 16.
According to the Associated Press, Paul Whatmore of the Metropolitan Police Proceeds of Corruption Unit, said Ibori’s guilty pleas capped an inquiry which began in association with Nigerian anti-corruption investigators in 2005.
Ibori was immune from prosecution in Nigeria between 1999 and 2007 when he was serving as governor.
Whatmore said, “We will now be actively seeking the confiscation of all his stolen assets so they can be repatriated for the benefit of the people of Delta State.”
“It is always rewarding for anyone working on a proceeds of corruption case to know that the stolen funds they identify will eventually be returned to some of the poorest and most vulnerable people in the world.”
A statement by Metropolitan Police said Ibori used the money to buy lavish houses in London and Johannesburg, a fleet of armoured Land Rovers, and a $20m private jet. He racked up credit card bills of $200,000 a month, police said.
Nigeria’s anti-graft investigators, the Economic and Financial Crimes Commission, had arrested Ibori in 2007, and police in London got a court order to freeze U.K. assets of £35m ($55m) which allegedly belonged to him.
In 2009, a court in Ibori’s home state capital, Asaba, dismissed 170 charges of corruption against him.
The case was reopened in 2010 by Nigerian investigators, but Ibori evaded arrest and fled to Dubai. He was detained there at the request of British police and extradited to London in 2011.
British prosecutors previously won convictions against Ibori’s wife, Theresa; his sister, Christine Ibori-Ibie; his mistress, Udoamaka Onuigbo; his lawyer, Bhadresh Gohil; a financial agent, Daniel Benedict McCann; and corporate financier, Lambertus De Boer.
Meanwhile, the Economic and Financial Crimes Commission has described Ibori guilt plea as a victory for the rule of law.
The spokesperson for the EFCC, Mr. Wilson Uwujaren, in an interview with our correspondent on Monday said the commission had been vindicated by the appeal against the judgment of Justice Marcel Awokulehin of a Federal High Court in Asaba which quashed all the 170 counts against the ex-governor.
He said, “We see it as victory for the rule of law. The decision to plead guilty has more or less vindicated the position of the EFCC that we have a watertight case against James Ibori.”
Monday, 27 February 2012
MUUNGANO UKIVUNJIKA TU! KULA FORODHANI ZANZIBAR KWA VISA!!!
Wale wapenda madikodiko na urojooooo watakuwa wanaenda kula vitu hivyo kwa viza, wacha tutabaruku kwa picha, MDAU ANGALIA MATE YASIKUTOKE!!!!! kumbuka kutumbukia kwenye video hapo juu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
















.jpg)

















.jpg)













.jpg)