WAKATI Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni kuhusu Katiba ikitarajiwa kuanza kazi yake kesho, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa amewataka Watanzania wasikubali kuruhusu mambo yasiyofaa katika jamii kuingia kwenye Katiba kwa kisingizo cha haki za binadamu.
Malasusa ambaye aliwahimiza wananchi kushiriki kikamilifu kutoa maoni yatakayosaidia kuundwa Katiba mpya, aliyasema hayo jana wakati wa ibada ya uzinduzi wa jengo la kitega uchumi cha Kanisa la KKKT, Usharika wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Akihubiri kwenye ibada hiyo iliyohudhuriwa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, Malasusa alisema kumekuwa na wimbi la watu wanaotetea mambo yasiyofaa kama vile utoaji mimba na kuruhusu ndoa za jinsia moja kwa kisingizo cha haki za binadamu.
Alisema katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya KKKT uliofanyika Arusha, moja ya maazimio yaliyofikiwa ni kuhamasisha waumini ambao ni sehemu ya jamii, kushiriki kikamilifu kutoa maoni katika mchakato wa Katiba mpya.
“Tumeagiza kila mchungaji kuhamasisha wananchi wake kushiriki kikamilifu, tunataka iwe Katiba ya kutuletea maendeleo na kuwa Katiba ya Watanzania na si ya Wakristo au madhehebu au dini ya aina yoyote.
Tushiriki kikamilifu na kuacha kulalamika baada ya Katiba kukamilika,” alisema. Malasusa alisema ipo haja ya kuangalia madaraka yaliyomo katika Katiba na kuondoa vipengele vyenye kasoro na kuweka vipengele vitakavyoendeleza kudumisha amani
ENDELEA KUSOMA http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=29542
Monday, 30 April 2012
KATIBA IZUIE USHOGA NA UTOAJI MIMBA-MALASUSA!!
P Square Ft Akon & May D - Chop My Money !!!!!
MENGI ATUNUKIWA TUZO NA UN!!!!
HARAKATI za Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi katika kuisaidia jamii na ushiriki wake katika mapambano dhidi ya ufisadi, zimemuwezesha kutunukiwa tuzo mbili za Umoja wa Mataifa (UN).
Katika sherehe hizo zilizofanyika Dar es Salaam jana, Mengi alitunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya Mwaka 2010 ya Uongozi na Kujali Utu na ya Mafanikio ya Asasi Binafsi za Umoja wa Mataifa ya Mwaka 2010-2011.
Utambuzi wa kumteua Mengi kuwa mshindi wa tuzo hizo mbili, ulifanywa chini ya uratibu wa Taasisi ya Kimataifa ya Global 2000 (2010) chini ya usimamizi wa Mkuu wa taasisi hiyo, Dk. William Morris. UN iliwakilishwa na Mratibu Mwakilishi wa UN nchini, Alberic Kacou; na sherehe hizo kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa na kimataifa akiwamo mgeni rasmi Jaji Mkuu, Mohammed Chande.
Akizungumzia mchakato wa kumuibua Mengi kuwa mshindi, Dk. Morris alisema taasisi hiyo ilifuatilia na kuridhishwa na harakati za mfanyabiashara katika kuwasaidia watu wasiojiweza kama watu wenye ulemavu, yatima na kuwawezesha wanawake kiuchumi.
Alisema licha ya kuhifadhi mazingira, lakini pia harakati zake katika kukabiliana na ufisadi na hasa alipowataja hadharani watu aliodai wanajihusisha na ufisadi ili kulisaidia Taifa lake kukabiliana na vitendo hivyo.
Alisema pamoja na kupambanishwa na washindani wengine wengi wenye sifa katika kuitumikia jamii, Mengi alishinda kwa asilimia zaidi ya 80, ikiwa ni mara ya kwanza kutokea tangu UN ilipoanza kutoa tuzo hizo.
Akizungumza kabla ya kukabidhi Tuzo ya Uongozi na Kujali Utu, Kacou alisema UN imempa tuzo hiyo kutokana na mchango wake katika kuisaidia jamii si tu Tanzania na Afrika, bali duniani kote kwa ujumla.
Alisema UN imeridhika na harakati za Dk. Mengi akiwa mfanyabiashara binafsi katika kupambana na umasikini, kuilinda dunia, kuwasaidia masikini na hasa alipokuwa anaitumikia jamii kama Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kamishna wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) na akiwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Kusaidia Watu Wenye Ulemavu Tanzania.
Akizungumza katika hafla hiyo, Mengi alisema “Nimepata heshima kubwa sana kwa kutunukiwa tuzo hizi ambazo ninazipokea kwa unyenyekevu mkubwa. Ninachukua fursa hii kuwashukuru Taasisi ya Global 2000 (2010) International kwa utambuzi huu na Dk. Morris kwa kutayarisha hafla hii.”
NA HABARI LEO

BABY-SHOWER YA DADA EUNICE!!!!!!!
mambo ya colour blocking
mahanjukula yalijaa kwa sana
sehemu ya mahanjukula
DJ wa ukweliii aliwapa watu kitu roho inapenda
Happy people
africa na mwafrica kama kawaida
raha la kanyagio lipate mkanyagaji na haswaaaaa limepata
makanyagio yalipata wakanyagaji
Saturday, 28 April 2012
BAA ZAINGIA UBIA NA MAKAHABA!!!
PAMOJA na juhudi za Serikali kupambana na biashara ya ngono nchini, sasa wanaofanya biashara hiyo wamebuni mbinu mpya kukwepa kuingia mikononi mwa vyombo vya dola.
Mbinu hiyo mpya ni ya kuendesha biashara ya ngono kupitia kaunta za baadhi ya baa zilizoingia ubia na wanaojiuza kwa mkataba wa kiasi fulani cha fedha inayotokana na biashara hiyo kwa siku.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, umebaini kuwa zipo baa kadhaa katika maeneo ya Mbezi Luis, Tegeta, Kinondoni na Sinza, Dar es Salaam zinazoendesha biashara hiyo na baadhi zina vyumba maalumu kwa kazi hiyo.
Baa hizo zinashirikiana na wanaoendesha biashara hiyo (wanaojiuza) wanaume kwa wanawake, ambapo mteja hupaswa kulipa fedha kaunta ya baa ikiwa amekubaliana naye kwa biashara hiyo.
Mmoja wa wahudumu wa baa moja (jina tunalo) iliyoko Mbezi Luis, aliliambia gazeti hili kwamba katika baa hiyo, kuna wanawake zaidi ya 13 wanaojiuza na wakishakubaliana na wanaume wanaowanunua, hulipa kaunta na kuendelea na mambo yao hapo hapo au kwingineko kwa mujibu wa kiwango cha fedha alichotoa.
“Hapa kwetu wanalipia kuanzia Sh 20,000 hadi Sh 150,000, inategemea na aina ya mwanamke, kama anavutia au ni wa kawaida; wakishakubaliana, mnunuzi anakwenda pale (akionesha kaunta) kulipia, hiyo pesa inakatwa kodi ya asilimia 20 ambayo baa inachukua na nyingine anapewa mwanamke,” alidai mhudumu huyo ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake gazetini.
ENDELEA KUSOMA http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=29498

MPOKI ALIVYOCHEKESHA WATU KATIKA KILI MUSIC AWARDS 2012!!
VIDEO NA BONGOFIVE
PICHA HIZI ZINAFURAHISHA JAMII?
DAKTARI ADAIWA KUMLAWITI MWANAWE!!!
MTU anayetajwa kuwa daktari wa binadamu, Donald Gwambo amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumpiga na kumlawiti mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu.
Gwambo anayefanya mafunzo kwa vitendo katika hospitali ya Serikali ambayo haikutajwa mahakamani hapo, jana alisomewa mashitaka mbele ya Hakimu Benedicta Beda.
Mwendesha Mashitaka Masini Mussa, alidai kuwa kati ya Machi 24 mwaka jana na Aprili 2 mwaka huu eneo la Manzese, Gwambo alimwingilia kinyume cha maumbile mtoto huyo.
Aliendelea kudai katika mashitaka ya pili kuwa kabla ya kumlawiti, Gwambo alimpiga mtoto huyo na kumsababishia maumivu na majeraha mwilini.
Mshitakiwa alikana mashitaka na kurudishwa rumande hadi Mei 8 kesi hiyo itakapotajwa.
Wakati huo huo, mkazi wa Kibamba katika Manispaa ya Kinondoni, Mustafa Wachega (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na mashitaka ya kumnajisi mtoto wa kaka yake. Wachega alifikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi, Athuman Nyamlani.
Mwendesha Mashitaka, Magoma Mtani alidai kuwa Aprili 17 eneo la Manzese Tip Top, Wachega alimwingilia kimwili mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka 16 anayedaiwa kuwa ni wa kaka yake. Mshitakiwa alikana mashitaka na kuachiwa kwa dhamana baada ya kukidhi masharti ya dhamana, kesi yake itatajwa Mei 8.

chanzo na habari leo
Mkasi - SO2E10 WITH ALI CHOKI!!
Friday, 27 April 2012
KOMPUTA NA GARI NDIYO SABABU YA UGONJWA WA SAJUKI - Wastara!!!!!
MKE wa mchezaji na mtengenezaji filamu, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, Wastara Sajuki, ambaye pia ni msanii, amesema kuwa ugonjwa unaomsumbua mumewe kwa sasa ulisababishwa na kukaa kwenye kompyuta na kuendesha gari kwa muda mrefu.
Akizungumza katika kipindi cha Leo tena kinachorushwa na Radio Cloud FM, Wastara alisema hilo liligundulika baada ya mumewe kwenda kupata vipimo mara mbili katika hospitali mbili tofauti, ikiwemo Hospitali ya Rufaa Muhimbili.
Dada huyo alibainisha kwamba, Sajuki baada ya vipimo alibainika kuwa ana uvimbe kwenye ubongo, ambao ndio ulikuwa ukimsababishia maumivu ya mgongo na kichwa kwa muda mrefu, ambapo hata hivyo alipatiwa dawa na kuanza kushiriki mazoezi ya viungo jambo ambalo limemsaidia kwa kaisi kikubwa.
habari na sayari
HEMED AIFAGILIA REDCROSS!!!
MUIGIZAJI Hemed Suleman ‘PHD’, anasema filamu ya ‘Redcross’ inayotarajiwa kutoka mwezi ujao hataisahau katika maisha yake kutokana na ugumu ambao ameupata wakati wa kuicheza.
Akizungumza na Sayari, Hemed alisema katika nafasi aliyoicheza akiwa kama muhusika mkuu, alikimbizwa sana kitendo kilichomfanya kuvimba miguu kwa sababu hakuwa na mazoezi kwa muda mrefu.
Hata hivyo, PHD ambaye pia ni msanii wa muziki, alisema ‘Redcross’ ni filamu ya aina yake, na ana imani italeta mapinduzi katika tasnia hiyo kutokana na uhalisia uliooneshwa.
habari na sayari
RIYAMA :SIJIONI KAMA NI STAA!!!!!!
MUIGIZAJI nyota wa filamu nchini, Riyama Ally, amesema nidhamu aliyonayo katika tasnia ya uigizaji, hajioni mpaka leo kuwa yeye ni ‘Super Star’ kuliko waigizaje wengine.
Riyama alisema kwamba ni kutokana na hilo ndiyo maana anaweza kucheza nafasi yoyote na msanii wa aina yoyote yule hata kama ni chipukizi.
“Ukweli ni kwamba wasanii wengi ambao wameshakuwa na majina, wana tabia ya kuwanyanyapaa wasanii wachanga, lakini kwangu hilo ni tofauti kwa kuwa naamini hata mimi nilitokea huko,” alisema Riyama.
habari na sayari
AFA NJIANI AKIWA NA MZAZI MWENZAKE!!!
MKAZI wa Kinondoni, Issah Kitupa (39), amekufa ghafla wakati akiwa njiani na mzazi mwenzake, Alluu Dems (32) wakienda baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela alisema mwanamume huyo alikufa
juzi saa 5.00 usiku karibu na Hospitali ya Dk. Mvungi.
Alisema kuwa Kitupa akiwa anaendesha gari lenye namba za usajili T 360 NUL aina ya Suzuki
huku akiwa ameongozana na Alluu, alianza kutokwa na povu mdomoni na puani ghafla.
Kutokana na hali hiyo, Kenyela alisema mwanamke huyo aliamua kuliendesha gari hilo hadi katika Hospitali ya Dk. Mvungi na alipofanyiwa uchunguzi aligundulika kwamba alishafariki dunia muda mrefu.
Kenyela alisema chanzo cha kifo hicho ni ugonjwa wa shinikizo la damu ambao ulikuwa ukimsumbua Kitupa kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi zaidi. Katika tukio lingine watu sita wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 25 za bangi pamoja na lita 24 za pombe haramu ya gongo.
Watuhumiwa hao ambao wametajwa kuwa Safari Mohamed (36), Aman Ally (27) na wenzao wanne walikamatwa juzi katika maeneo ya Kigogo na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote kujibu tuhuma zinazowakabili.

NA HABARI YA LEO
THE BEST COUPLE IN TOWN NEAR YOU!!!!!
TWO MORE SOUTH AMERICAN PROSTITUTION SCANDALS EMERGE!!!
They’re one of the government’s most professional and elite squads, known for being tightly buttoned up and meticulously vigilant. But loose lips are sinking the shiny reputation of the Secret Service. In recent days details of two more alleged incidents involving agents or U.S. servicemen picking up prostitutes in South America have arisen, both of which happened within the past year.
A Brazilian reporter brought one incident to light during a press conference in Brasilia with Defense Secretary Leon Panetta, who is currently traveling around South America. The reporter highlighted a strikingly similar scandal that occurred in the Brazilian capital in December 2011. As the story goes, a prostitute was involved in a payment dispute with three Marines who were serving as a security detail for the U.S. Embassy.
Read more: http://newsfeed.time.com/2012/04/26/two-more-secret-service-prostitution-scandals-emerge/#ixzz1tDILNL6P
"KIPAJI NI MAJALIWA" MSIKILIZE BIBI CHEKA ANAVYOFUNIKA NA RAP!!!
VIDEO NA FARARIISM
Thursday, 26 April 2012
MFALME MSWATI APOKEA NDEGE MPYA!!!!
MFALME MSWATI 111
WAKE WA MFALME MSWATI 111
WAKE WA MFALME MSWATI 111
Mfalme Muswati anaorodheshwa na jarida la Forbes akiwa wa 15 miongoni mwa falme tajiri duniani akiwa na mali inayokadiriwa kutimu dola milioni 100, huku raia wake wengi wakiishi kwa ufukara mkubwa.
Amelaumiwa kwa kuishi maisha ya anasa ingawa alisimamisha tamasha za kusherekea miaka 25 ya utawala wake mwaka jana kutokana na hali halisi ya Uchumi wa nchi yake.Ndege mpya iliwasili Swaziland hapo Jumanne kama zawadi kutoka kwa wahisani na na marafiki wa Mfalme ambao hawakutaka kutambuliwa.
Msemaji wa serikali amekanusha taarifa kwamba ndege hii ni zawadi ya kusherekea siku ya kuzaliwa kwa Mfalme aliyetimiza umri wa miaka 44 hapo tarehe 14 Aprili.
Mnamo siku hiyo Machifu kote nchini Swaziland walitakiwa kutoa mchango wa ng'ombe wa kuchinjwa kwa ajili ya sherehe za kuzaliwa kwa Mfalme.Vugu vugu la haki za binadamu ambalo huwashirikisha raia wa Swaziland nje ya nchi limepuzilia mbali maelezo ya serikali na kutaka kupata taarifa za kina kuhusu marafiki hawa waliojitolea kwa ukarimu wa kumzawadia Mfalme Mswati ndege.
Alipoulizwa ikiwa Mfalme Mswati alikaidi zawadi hiyo msemaji wa serikali Simelane amesema huwezi kuchunguza mdomo wa farasi uliyepewa kama zawadi.
Msukosuko wa kiuchumi unaokumba Swaziland umechochea maandamano ya kushinikiza kuwepo utawala wa demokarsia katika nchi ambapo vyama vya kisiasa vimefutwa.
Aidha nchi hii ndogo imetajwa miongoni mwa zile zenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
CHANZO CHA HABARI BBC SWAHILI.
THE BEST PHOTOS OF DAY RIHANNA!!!!
HUKUMU YA CHARLES TAYLOR LEO!!!!
Taylor anakabiliwa na mashtaka 11 ikiwemo ubakaji na mauaji ya raia wa Sierra Leone,Ikiwa atapatikana na hatia atakuwa rais mstaafu wa kwanza kuhukumiwa na mahakama ya kimataifa.
Kiongozi huyo wa zamani anadaiwa kufadhili waasi wa RUF.
Zaidi ya mashaidi 100 wamefika mbele ya mahakama hiyo lakini Bw Taylor amekanusha kuhusika na uhalifu huo wakivita na anadai kuwa kesi hiyo ni njama ya kummaliza kisiasa.Hukumu ya majaji hao inasubiriwa kwa hamu sana na raia nchini Sierra Leone ambao jamaa zao waliathirika sana wakati wa vita hivyo.
Inakadiriwa kuwa zaidi wa watu elfu 50 waliuawa na wengine wakiwemo wanawake na watoto walibakwa na kukatwa mikono au miguu na waasi wa RUF ambao upande wa mashtaka unasema walipata usaidizi wa silaha kutoka kwa Bw Taylor.
Wakati wa vita hivyo, mwendesha mashtaka anasema kuwa Taylor alikuwa kiungo muhimu katika biashara haramu ya almasi kutoka Sierra Leone.
Kesi hii iliodumu miaka mitatu na nusu, hata hivyo huenda isi kamilike leo kwani pande zote wanauhuru wa kukata rufaa ikiwa hukumu hiyo haitawaridhisha.
chanzo cha habari BBC SWAHILI.
CATHOLIC PRIEST,THEOLOGIAN TO TEACH SWISS SEX CLASSES!!!
Nestled amid farmland and forests in central Switzerland, the tiny hamlet of Edlibach is not a likely hotbed of controversy. But that may change in May when a Jesuit priest and a Catholic theologian begin offering sex classes for couples at the village’s Jesuit center.
The seminar, entitled “Make Time and Room for Sensuality,” is intended “to remind people that Catholic doctrine considers sex to be an expression of love and not just a functional act for making babies,” Christian Rutishauser, the priest organizing the course, said in an interview earlier this month with the German-language newspaper Neue Luzerner Zeitung. “Until now, the Church has expressed particular prohibitions and set conditions for sex. It has said little about how sex can be active and positive.”
Read more: http://newsfeed.time.com/2012/04/25/catholic-priest-theologian-to-teach-swiss-sex-classes/#ixzz1t7UC79DU
Wednesday, 25 April 2012
HATA HAIR DOOO UNAFUNGA NA ZIP PIA!!!
SONGI JIPYA LA Barnaba - Gubegube!!!!
NI MAAFA,UBAKAJI,NA UASI DRC!!!
Rubaa kutoka Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinasema mapigano makali kati ya wanajeshi na waasi yamesababisha ubakaji wa halaiki na mauaji ya wanajeshi tisa.
Duru zinasema zaidi ya watu 100 wamebakwa katika eneo la Mweso lililoko Kivu ya Kaskazini. Zaidi ya raia elfu 80 wamaaninika kukimbia mapigano hayo ambapo pia kuna taarifa za wanajeshi 20 wa serikali kuasi.
Walioasi wanaaminika kuwa waaminifu kwa jenerali muasi Bosco Ntaganda anayetakikana na mahakama ya Kimataifa ya jinai-ICC. Ntaganda ameshtakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita ambapo anatuhumiwa kuwasajili watoto jeshini.
chanzo BBC
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)

.jpg)

.jpg)
.jpg)