Saturday, 30 June 2012
BREAKING NEWS WATU WASIOTAMBULIKA WAVAMIA TEGETA DAR ES SALAMM NA KUANZA KUBOMOA NYUMBA!
breaking new tegeta kumetokea vurugu kati ya wananchi na watu wanaojiita kikundi cha ulinzi, ugomvi huu umetokea baada ya hao wavamizi kuanza kubomua nyumba za wenyeji wakidai wametumwa na mmiliki wa kampuni ya oil com, wakati vurugu hyo ikiendelea msafara wa rais ulipita na baadhi ya watu wakaanza kulirushia gari la rais kikwete mawe lakini kwa bahati nzuri hakuna aliyedhurika, mpaka sasa hali ni shwari na kikosi cha polisi kimeshafika eneo la tukio kwa ajili ya kuimarisha ulinzi!
Friday, 29 June 2012
MCHAGUA JEMBE SI MKULIMA NA CHAGUA JIKO SI MPISHI!!
ULIMBOKA ANA SIRI NZITO,ASEMA ATAANIKA KILA KITU BAADAYE, ASEMA ACHWE APUMZIKE, MKUU WA JOPO LA MADAKTARI WANAOMTIBU ASEMA ALING'OLEWA KUCHA, MENO MAWILI NA KUPATA MTIKISIKO WA UBONGO
| tu kumwona kiholela siyo tu kwa sababu za kutaka aachwe apumzike, bali pia kutowaamini watu ovyo. Madaktari wanaolinda eneo hilo walisikika jana wakisema, “Huyu tunamlinda wenyewe na haiwezekani mtu asiyefahamika kuingia humu ndani, na hilo tutahakikisha sisi wenyewe,”alisikika akisema mmoja wa madaktari hao. Kiongozi jopo la madaktari Katika hatua nyingine, kiongozi wa jopo la madaktari wanaomuhudumia Dk Ulimboka, Profesa Joseph Kahamba aliwaambia waandishi wa habari kuwa Dk Ulimboka ana majeraha mwili mzima. “Ingawa kwa sasa anaendelea vizuri, Dk Ulimboka ameumia sana, kwani mwili wake mzima una majeraha kutokana na kupigwa na watekaji hao,”alisema Profesa Kahamba na kuongeza: "Sijakaa sawa, nikaona nimeshaburutwa nikaanguka kwenye lami, wakaniinua na kuniingiza kwenye gari nyeusi, lakini halikuwa na namba." Hata hivyo, jana Dk Ulimboka hakuonana na mwandishi wa habari hii, badala yake alirekodiwa, na Mwananchi kupata sauti yake akijibu swali kuhusu hali yake na tukio hilo, baada ya uongozi wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi) kuzuia watu kumwona. Daktari huyo wa magonjwa ya binadamu, amelazwa katika chumba cha Wagonjwa Wanaohitaji Uangalizi Maalumu (ICU). "Kidogo najisikia nafuu ikilinganishwa na nilivyokuja ingawaje, bado nina maumivu makali. Kwa hivyo, ingependeza niendelee na mapumziko na mtu yeyote anayetaka kuniona pengine hilo jambo lisifanyike sasa. Hivi sasa ni vizuri nipumzike," ilisikika sauti hiyo ya Dk Ulimboka. Lakini, uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa wodini alikolazwa Dk Ulimboka, kuna ulinzi mkali wa madaktari na hairuhusiwi watu kumwona kiholela siyo tu kwa sababu za kutaka aachwe apumzike, bali pia kutowaamini watu ovyo. Madaktari wanaolinda eneo hilo walisikika jana wakisema, “Huyu tunamlinda wenyewe na haiwezekani mtu asiyefahamika kuingia humu ndani, na hilo tutahakikisha sisi wenyewe,”alisikika akisema mmoja wa madaktari hao. ENDELEA KUSOMA HAPA: |
HALI YA DR ULIMBOKA JUNI 28, 2012 AKIWA ICU!!
MWANARIADHA WA KENYA MATATANI!!!
Kemboi anasifika kwa mbio za mita elfu tatu kuruka viunzi na maji. Mwanamke anayedai kufanyiwa kitendo hicho, Anne Njeri Otieno, anadai kuwa mwanariadha huyo alimshambulia wakati alipokataa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.
Kemboi, aliambia polisi kuwa wakati alipokuwa anamrejesgha nyumbani mwanamke huyo katika mji wa Eldoret, walishambuliwa na watu wlaiokuwa wamejihami na hivyo akajeruhiwa kwenye purukushani hilo.
Kemboi mwenyewe ni afisaa wa polisi na anajiandaa kwenda mjini London kwa michezo ya Olimpiki.
Hata hivyo Kemboi aliachiliwa kwa dhamana baada ya kulipa dola 595 za Kimarekani na kesi yake itasikilizwa tena mwezi Septemba baada ya michezo ya Olimpiki.
"Tayari niko katika kikosi cha wanariadha watakaowakilisha Kenya kwenye michezo ya Olimpiki. Ninaomba mahakama kunipa nafasi niweze kushiriki " alinukuliwa akisema Kemboi mbele ya mahakama.
Mwandishi wa BBC mjini Eldoret Wanyama Chebusiri anasema kuwa Kemboi alichukua muda wa saa saba katika kituo cha polisi alipokuwa anahojiwa.
Kituo hicho cha polisi pia kilijaa watu waliokuwa wanataka kumuona Kemboi alipofika kwa mashtaka.
Hapo awali, Bi Otieno, ambaye anaendelea kupata nafuu hospitalini, aliambia waandishi wa habari kwamba alikuwa kwenye mkahawa mmoja na Kemboi wakati alipokubali kumpeleka nyumbani usiku ulipoingia.
Mwaka 2004 Kemboi aliyeshinda dhahabu kwenye mbio za elfu tatu aliambia polisi kuwa alivamiwa na wezi alipokuwa nje ya gari lake na kumtaka awape pesa na kisha kumshambulia.
Alisema alichukua hatua hiyo ili kujilinda dhidi ya kuvamiwa na katika purukushani hiyo Bi Otieno akajeruhiwa.
chanzo:bbc
Thursday, 28 June 2012
UDAKU NA UDAKUZI:DIAMOND,WEMA SEPETU WANASWA HOTELINI!!!
NDIVYO ilivyokuwa, staa mkali wa filamu Bongo, Wema Sepetu na mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa yupo juu, Nasibu Abdul a.k.a Diamond ‘Plantinum’ wamenaswa katika hoteli yenye hadhi ya nyota tano Giraffe iliyopo Mbezi, jijini Dar es Salaam.
MESEJI YA KWANZA KWENYE SIMU YA PAPARAZI
Asubuhi ya Juni 26, 2012, ujumbe mfupi wa maneno (sms) uliingia kwenye simu ya paparazi wetu ukidondosha madai mazito kuwa, mastaa hao waliowahi kuwa wachumba na baadaye kumwagana kinomanoma, wako kwenye hoteli hiyo ‘wakiponda raha kwani kufa kwaja’.
Meseji hiyo ikafafanua: “Tena wapo toka jana, Wema yeye yupo toka alipomaliza ile shughuli yake na Omotola yule mdada wa Naijeria (Nigeria).”

MAPAPARAZI WAINGIA MZIGONI
Baada ya kupata ujumbe huo, waandishi wetu walikaa kama kamati mbele ya mhariri wao, wakaandaa zana mbalimbali zikiwemo kamera na vifaa vya kurekodia kwa ajili ya kufuatilia ukweli wa meseji hiyo.

GARI LA DIAMOND NJE YA HOTELI
Waandishi wetu walifika hotelini hapo saa 3:46 ambapo nje ya hoteli hiyo, mapaparazi hao walianza kuamini Platinum yupo ndani baada ya kuliona gari lake aina ya Toyota Prado, lakini katika kuzungusha makengeza yao hawakuweza kulitia machoni gari la Wema.

MBELE YA MAPOKEZI YA HOTELI
Mbele ya kaunta ya mapokezi, waandishi waliomba kuonana na Wema Sepetu.
Mtu wa Mapokezi: Nimwambie nani?
Musa: Mwambie baby wake.
Mtu wa Mapokezi: Baby wake yupi?
Musa: Musa Mateja.
Mtu wa Mapokezi alimtwangia simu Wema ambapo alipoambiwa ni Musa Mateja aliamuru asubiri eneo hilo mpaka atakapoitwa kwenda chumbani.

DIAMOND HUYO!
Waandishi wakiwa wamepiga kambi wakisubiri kuitwa, ghafla Diamond alishuka akiwa mbiombio kuelekea kwenye gari lake kama mtu anayewahi. Mapaparazi wetu walimfuata hadi kwene gari ambapo alikuwa ameshaingia

ENDELEA KUSOMA HAPA:http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/diamond-wema-wanaswa-hotelini
SERIKALI IELEZE KILICHOMTOKEA DR. ULIMBOKA!!!!!
MBUNGE wa Nzega, Dk Khamis Kigwangala ameitaka Serikali kutoa majibu fasaha kuhusu kilichomtokea Dk Stephen Ulimboka akieleza kuwa kilichomtokea kiongozi huyo wa madaktari kinasikitisha. Dk Kigwangala alisema hayo jana alipozungumza na gazeti hili kuhusu tukio lililomkuba Dk Ulimboka.
Alisema kuwa ni muhimu kwa Serikali kufanya hivyo kwa kuwa Dk Ulimboka alikuwa katika harakati za kudai haki za madaktari ambapo kabla hawajafikia azma yao amekutwa na jambo la kusikitisha.
“Ukimwangalia picha zake huwezi kumtambua, tumefikia mahali kitu kama hiki kinatokea, inasikitisha sana. Kuna haja kwa Serikali kuthibitisha kuwa haijahusika kwa tukio hilo kwani taarifa silizosambaa zinaeleza kuwa imehusika,”alisema Dk Kigwangala. Alisema ni lazima Serikali iwajibike kwenye suala hilo ingawa haamini kama inaweza kufanya tukio kama hilo.
Dk Kigwangala alisema taarifa zilizopo ni kwamba Daktari huyo alipigiwa simu na mtu wa Serikali ili kuangalia namna gani wanaweza kuzungumzia kusitisha mgomo huo. Akizungumzia historia ya Dk Ulimboka alisema kuwa ni mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa kuyumbishwa waliyekutana Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili (MUHAS) mwaka 1998 walipokwenda kusomea udaktari.

Alisema kabla ya Dk Ulimboka kujiunga na MUHAS alitokea Shule ya Sekondari Mzumbe ambapo alikuwa amesomea mchepuo wa Sayansi(PCB).
chanzo:http://www.mwananchi.co.tz
CHADEMA YALAANI DR.ULIMBOKA KUSHAMBULIWA!!!!
Bwana John Mnyika
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimelaani kukamatwa na kushambuliwa kwa viongozi wa madaktari ikiwamo Dk Ulimboka Steven ikieleza kuwa hatua hiyo haiwezi kuwa suluhu bali itachochea zaidi mgogoro wa madaktari na Serikali.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika inaeleza pia kwamba udhaifu wa Serikali kuharakisha kwenda mahakamani kabla ya Bunge kupewa fursa ya kujadili madai ya madaktari na kuisimamia Serikali umelifikisha taifa katika hali iliyopo sasa.
"Nalaani uamuzi wa Serikali wa kutumia vyombo vya dola kukamata na kushambulia viongozi wa madaktari ikiwemo Dk Ulimboka Steven kwa hauwezi kuwa suluhu bali utachochea zaidi mgogoro kati ya madaktari na Serikali," ilisisitiza sehemu ya taarifa hiyo ya Mnyika na kuongeza:
“Nichukue fursa hii kuwaomba madaktari kufanya kila kinachowezekana kuokoa uhai wa wagonjwa katika kipindi hiki kigumu.” Mnyika alisema kuwa ameomba wabunge wapewe nakala ya Taarifa ya Kamati ya Huduma za Jamii kuhusu madai ya madaktari na hoja ya taarifa husika iwekwe katika orodha ya shughuli za Bunge katika mkutano wa Bunge unaoendelea ili ijadiliwe na kupitisha maazimio, kuwezesha hatua za muda mfupi, wa kati na muda mrefu kuupatia ufumbuzi mgogoro huo na kuboresha sekta ya afya nchini.
“Natarajia kwamba Spika atawezesha kamati kuwasilisha taarifa yake na Bunge kujadili baada ya Serikali kutoa kauli yake bungeni,”alisema. Mnyika alisema ikiwa wabunge wataelezwa ukweli na kupewa taarifa kamili wataweza kuisimamia Serikali na kuwaeleza ukweli madaktari kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani.
Alisema kuwa ingawa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametoa maelezo bungeni kuwa Serikali itatoa kauli bungeni kuhusu mgomo huo, Bunge halitaruhusiwa kujadili kauli husika, hivyo kukoseshwa fursa ya kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi
Chanzo :http://www.mwananchi.co.tz

UJUMBE HUU UNAMAANISHA KWELI KAMA ULIVYOANDIKWA?
MAREKANI YATAJA MAKUNDI HATARI AFRIKA!!
Akizungumza mjini Washington afisa huyo amesema waasi wanaodhibiti kaskazini mwa Mali wameendelea kutumia eneo hilo kuendesha harakati zao ikiwemo kupanga njama za kutekeleza mashambulio.Jenerali Ham ni kamanda wa kitengo cha idara ya ulinzi ya marekani kinachofuatilia masuala ya usalama barani Afrika{Africom} na makao makuu yako Ujerumani.
Kitengo hiki kinaimrisha harakati zozote za kijeshi Afrika ikiwemo mashambulio ya kutumia ndege bila rubani dhidi ya wapiganaji wa Kisomali wa Al shabaab.
Tayari kuna wanajeshi 100 wa Marekani wanaosaidia kumsaka kiongozi wa waasi Uganda Joseph Kony ambao wanasimamiwa na kitengo cha Jenerali Ham.
Afisa huyo ametaja makundi hatari zaidi ikiwa ni pamoja na kundi la Al Qaeda Afrika Kaskazini{AQIM}, Boko Haram na Al-Shabab.
Ameongeza tisho kubwa ni kwamba makundi haya yameanza kushirikiana katika kufanikisha harakati zao.
Mapema mwaka huu nchi ya Mali ilishuhudia mapinduzi ya kijeshi na kufuatiwa na kudhibitiwa kwa eneo nzima la Kaskazini na makundi yanayotetea kujitenga ya Tuareg na wapiganaji wa kiisilamu.
chanzo:bbc
Wednesday, 27 June 2012
BADO NATESEKA:LULU
MSANII wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ juzi Jumatatu aliwaambia ndugu zake kuwa bado anateseka baada ya kesi yake inayomkabili ya kuhusishwa na kifo cha msanii mwenzake, Steven Kanumba kupigwa kalenda baada ya suala lake kuhusu umri wake kuamriwa kupelekwa Mahakama ya Rufaa Tanzania.
Muda mfupi baada ya uamuzi huo uliofikiwa Mahakama Kuu mbele ya Jaji Twalib Fauz anayesikiliza kesi hiyo na Lulu kutolewa katika chumba cha mahakama tayari kwa kurudishwa rumande, msanii huyo aligonganisha macho na mmoja wa ndugu zake huku akionekana kuchanganyikiwa.
“Bado nateseka,” alisema Lulu bila kuongeza neno lingine hali iliyozua majonzi mazito kwa ndugu yake huyo.
Lulu (pichani) alifikishwa katika Makahama Kuu ya Tanzania ambapo kesi yake ilitajwa tena mbele ya Jaji Fauz kwa lengo la upande wa utetezi kuwasilisha vielelezo vya kuthibitisha umri wake ambapo unadai hajafikisha miaka 18.

UTETEZI WAKWAMA TENA
Hata hivyo, upande wa utetezi ukiwa tayari kuwasilisha vielelezo vyao, Jaji Fauz alimtaka Wakili wa Serikali, Elizabeth Kaganda kuzungumza lolote kabla mawakili wa Lulu kutoa vithibitisho vyao kama ushahidi.
Wakili Kaganda aliibua hoja mpya ya kupinga vielelezo hivyo kutolewa mahakamani hapo na kusema wameshapeleka hati ya rufaa kwenye Mahakama ya Rufaa kupinga kujadili upya umri wa msanii huyo mahakamani hapo.
Awali wakiwa mahakamani hapo, mawakili wa pande zote walifikia muafaka wa kuujalidi upya umri wa msanii huyo ambapo serikali ilipeleka vielelezo vya umri wa Lulu kuwa ni miaka 18.
Hata hivyo, juzi upande huo wa Jamhuri uliomba kusitishwa kwa zoezi hilo baada ya kukata rufaa ili uendelee kutambulika kuwa ni miaka 18 aliouandikisha msanii huyo na kutia saini yake alipokuwa akihojiwa kituo cha polisi baada ya kukamatwa kuhusu kesi hiyo.
Kufuatia ombi hilo hilo la rufaa, mawakili wa Lulu, Kennedy Fungamtama, Peter Kibatala na Fulgency Massawe waliushutumu upande wa Jamhuri kwa kuwasumbua na kuwa vigeugeu kwani wao ndiyo walioomba kesi hiyo itolewe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa mahakamani hapo kwa ajili ya kujadili umri.
Jaji Fauz aliipitia nakala ya barua iliyopelekwa Mahakama ya Rufaa na mawakili wa serikali na kutoa uamuzi kuwa kesi hiyo ipelekwe Mahakama ya Rufaa kwa ajili ya kutolewa upya uamuzi wa kujadili umri wa msanii huyo.
DK. CHENI AWATENGANISHA WAZAZI WAKE
Katika hali ya kushangaza, wazazi wa Lulu, hawakukaa pamoja, msanii wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ ndiye aliyekaa katikati yao.
Jambo lililozidisha huzuni mahakamani hapo ni mdogo wake ambaye jina lake halikupatikana mara moja, kupelekwa kumsamilia sehemu aliyokuwa amekaa huku akiwa amezungukwa na maaskari magereza.
Hali hiyo ilimfanya Lulu amwage machozi kwa uchungu.
Kesi hiyo itatajwa tena mahakamani hapo Julai 09, mwaka huu kabla ya kuhamishiwa Mahakama ya Rufaa.

BREAKING NEWS:DK ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA TAABANI!!!
Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika pori la Pande nje kidogo ya jiji akiwa taaban.Inasemekana Dk Ulimboka alitekwa jana na watu wasiojulikana.
chanzo:http://www.mwananchi.co.tz/
TAARIFA YA MSIBA ARIZONA MAREKANI REHEMA KAYUNGI AAAGA DUNIA!!!
Marehemu Rehema Kayungi
---
KUNA HABARI ZA KUSIKITISHA KWAMBA KUNA MBONGO AMEFARIKI HUKO ARIZONA NCHINI MAREKANI ANAEJULIKANA KWA JINA LA REHEMA KAYUNGI. CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO HAKIJAJULIKANA. TUNAPENDA KUOMBA USHRIKIANO WAKO ENDAPO UNAFHAMU NDUGU WA MAREHEMU WALIPO NA KUWAFIKISHIA UJUMBE HUU MUHIMU SANA. INASEMEKANA ANA KAKA YAKE ANEISHI ARUSHA (JINA HALIFAHAMIKI). NA KWA WALE MLIOKO HUKO PIA TUNAOMBA MJARIBU KUTAFUTA NJIA ZA KUPATA HABARI ZAKE NA KUZIKIFISHA ZINAPOTAKIWA, MWILI WAKE UPO MOCHWARI HUKO ARIZONA CITY!
ALIKUWA HANA MAWASILIANO NA WABONGO KABISA, SO TAFADHALINI MSITIRINI MWENZETU HUYO.
HABARI HIZI KWA KWA MUJIBU WA DADA KHADIJA ANEISHI HUKO ARIZONA!!! PLEASE HELP IF YOU CAN!!!
TUTAZIDI KUWALETEA HABARI ZAIDI KADRI TUTAKAVYO KUWA TUNAZIPOKEA.
TUNAPENDA KUTOA POLE KWA WAFIWA WOTE, MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.
KWA HABARI ZAIDI WASILIANA NA DADA MARY MASANYWA ON
+1 713-319-7315.
+1 713-319-7315.KASTAMA KEA AU KASTAMA KERO?
WAHAMIAJI 42 WAFA KWENYE LORI TANZANIA!!!
Naibu waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania, Pereira Silima, amesema kuwa watu hao waliokuwa wamesongamana ndani ya lori waliaga dunia kutokana ukosefu wa hewa safi.
''Taarifa tuliyopata ni kwamba kulikuwa na wasafiri waliokuwa wakisafirishwa kwenye lori, ambalo lilikuwa kama kontena na halikuwa na hewa ya kutosha''.Bwana Silima ameambia BBC
Amesema wahamiaji hao haramu kutoka Ethiopia walikuwa wakijaribu kuingia Malawi.
Kulingana na bwana Silima wahamiaji hao walianza kufariki dunia wakiwa safarini. Jihudi za wahamiaji hao kumjulisha dereva kuhusiana na hali yao hazikufanikiwa, na hivyo kusababisha maafa ya watu arobaini na moja ndani ya lori hilo.
Kulingana na naibu waziri huyo wa mambo ya ndani tukio hilo lilifanyika Jumatatu usiku. Na baada ya dereva huyo kugundua kuwa watu wamefariki, aliondoa miili yao na kuitupa nje kabla ya kutoweka.
Mtu mmoja alifariki dunia akifanyiwa matibabu katika hospitali ya mkoa mjini Dodoma.
Polisi nchini Tanzania wamesema wanamsaka dereva huyo ambaye alitoroka punde tu baada ya kushusha miili ya wahamiaji hao haramu.
Biashara ya kuwasafirisha wahamiaji haramu hasa wanaotoka nchi za Somalia na Ethiopia kupitia Tanzania imeenea sana. Wengi huelekea mataifa ya kusini mwa Africa kutafuta maisha bora.
chanzo:bbc
Tuesday, 26 June 2012
FUMANIZI KATILI!!!
MWANAUME AKATWA MKONO
Naye Victor Bariety wa Geita anaripoti kuwa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Nyakamwaga wilayani hapa, amenusurika kifo baada ya kudaiwa kufumaniwa na mke wa mtu japokuwa mwenyewe amekanusha.
Kijana huyo alijeruhiwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na kukatwa kiganja cha mkono wa kushoto na mwanaume mmoja aliyedai kuwa anatembea na mke wake na siku ya tukio alionekana akiwa na mke wa mwanaume huyo.
Akisimulia mkasa huo akiwa wodini kwenye Hospitali ya Mkoa wa Geita alikolazwa akitibu majeraha, mwanafunzi huyo Fikiri Mtasimwa (20), mkazi wa Kijiji cha Gengetano, Kata ya Nyakamwaga mkoani hapa alidai kuwa alikutwa na balaa hilo usiku wa Juni 17, mwaka huu wakati akinywa uji kwenye kijiwe chao.
Alidai mwanaume huyo anayemfahamu kwa jina la baba Neema alimvamia kwenye kijiwe hicho kinachomilikiwa na binti aliyemtaja kwa jina moja la Mektirida na kuanza kumshambulia kwa mapanga sehemu za kichwani, mgongoni na begani kabla ya kumkata mapanga katika mkono wake wa kushoto na kusababisha kiganja cha mkono huo kunyofoka akimtuhumu kutembea na mkewe aliyemtaja kwa jina la mama Neema.
“Wakati nakunywa uji nilimuona baba Neema akichomoa panga kiunoni mwake na kuanza kunikata kwa kunilenga shingoni, nilikwepa lakini bahati mbaya lilitua kisogoni na kunijeruhi ndipo nilipoamua kukimbia lakini sikufika mbali kwani nilidondoka, akanifuata na kunikata panga jingine la pili kichwani.
“Nilinyanyuka tena na kukimbia huku damu zikivuja...nikadondoka tena, akanikata begani.
“Inavyoonekana alikuwa na lengo la kuniua kwani alianza kunikata mkono wangu wa kushoto mara kadhaa na kiganja changu kikadondoka ndipo rafiki yangu aitwaye Fikiri William ninayesoma naye kidato cha tatu, alipofika kunisaidia na njemba hilo likatoweka na kwenda kusikojulikana nami nikapoteza fahamu,” alisema Mtasimwa.
Alisema alijikuta yupo hospitali akiwa hana kiganja na kufafanua:
“Siku moja kabla ya tukio nilikutana na baba Neema na kumsalimia lakini akaniambia kuwa mimi nina dharau sana wala hahitaji salamu yangu na akanitishia kuwa maisha yangu yapo hatarini, aliondoka bila kunieleza sababu.”

MGANGA MKUU
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk. Ndallo Ndallo alithibitisha kuwepo kwa majeruhi huyo katika hospitali hiyo na kuongeza kuwa hali yake ni mbaya kutokana na majeraha aliyoyapata sehemu mbalimbali za mwili.

KAMANDA WA POLISI
BINTI MIAKA 21
Tukio la kwanza lilimpata binti wa miaka 21, Machiwa Ramadhan mkazi wa Kijiji cha Mandela, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani ambaye sasa amelazwa katika Kituo cha Afya cha Miono baada ya kujeruhiwa katika fumanizi.
Vyanzo vyetu vya habari vilidai kwamba mwanadada huyo alijeruhiwa Alhamisi ya wiki iliyopita saa 3.00 usiku kwa baba yake mdogo aliyetambulika kwa jina la Mwinyijuma Paulo baada ya kukutwa na mume wa mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la mama Hema wakiwa gizani huku wakizungumza kwa sauti za kimahaba.
Habari zaidi zilidai kwamba mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina la Walter Emili maarufu kwa jina la Kojoka aliyekutwa na Machiwa, baada ya kufumwa alitimua mbio huku mwanamke huyo akishambuliwa hadi kupasuliwa shavuni na kitu chenye ncha kali na kushonwa nyuzi 12 katika Kituo cha Afya cha Miono.
Taarifa hizo ziliendelea kudai kwamba mke wa Emili alipata taarifa kwa marafiki zake kwamba Machiwa yupo na mumewe hivyo aliwafuma wakiwa pamoja ndipo alipoamua kumpiga mgoni wake.
Mwandishi wa habari hii alienda hadi Kituo cha Afya Miono na kumkuta Machiwa akiwa amelazwa na alipoulizwa kulikoni, alisema kuwa amejeruhiwa na mama Hema.
Machiwa alikataa katakata kwamba alifumaniwa na huyo mwanaume akadai kuwa huyo mwanamke alimvamia njiani wakati akitoka katika biashara zake karibu na nyumbani kwa baba yake mdogo.
“Aliponijeruhi niliamua kwenda kwa dada yangu aitwaye Tatu Ramadhan ambaye alinipeleka kwa mwenyekiti wao wa Kitongoji cha Chemichemi na akatuandikia barua ya kwenda Kituo cha Polisi Wami tulikopata PF 3 kwa

ENDELEA KUSOMA HAPA:
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/fumanizi-katili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Kamishna Msaidizi wa Polisi, Leonard Paulo alithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kuongeza kuwa juhudi za kumsaka mtuhumiwa huyo zinaendelea.

URAIS NI WITO: MEMBE
Akizungumzia juu ya habari ambazo zimevuma hapa nchini juu ya kuitabiria ushindi Chadema 2015, Membe alisema hakuzungumza juu ya swala hilo, hivyo anaomba redio zitafute mkanda uliorekodi maongezi yake na vijana wa chadema"Redio tafuteni mkanda, Clouds mnisaidie kuutafuta huo mkanda uliorekodiwa maongezi kati yangu na vijana wa Chadema na kama kutakuwa na maneno niliyozungumza kuitabiria chadema nitawajibika," alisema Membe.
- Kwenye kipindi cha Breakfast leo, pale alipotakiwa kuelezea juu ya uvumi unaovuma kuwa anatarajia kugombea urais 2015.
- Membe alisema urais ni wito, na siyo urais tu hata uongozi wowote ule, watu 2015 wataangalia umefanya nini jimboni kwako na siyo kuoneka unaongea sana kule Bungen halafu jimboni kwako hakuna kitu. Cha msingi ni wananchi wako wakuone umewafanyia nini.Muendelee kusali sana nami nasali nikioteshwa 2015 nitakuja hapa tena kuzungumzia swala hili la kugombea urais. "Kuna wahariri wa habari wanne (bila kuwataja majina) kwani walinipigia simu wakitaka niwafafanulie, kwani walisema walitumiwa habari hiyo na wakasisitizwa waitoe lakini hawakufanya hivyo walibalance kwanza, huo ndo ukomavu tunaotaka," alisema Membe.
Hayo yamezungumzwa na waziri wa mahusiano ya kimataifa, mheshimiwa Ben Membe alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa clouds fm, Gerald Hando,
MAENDELEO MIKOA YA KUSINI MWA TANZANIA
Akizungumzia swala la maendeleo mikoa ya kusini mwa Tanzania, Muheshiwa Membe alisema maendeleo yakua kwa haraka sana kwenye mikoa hiyo kutokana na Gesi nyingi iliyogunduliwa huko.
TASWIRA YA MIAKA 50 YA UHURU NA MAENDELEO YAKE!!!
HAPPY BIRTHDAY HILDA LOWASA!!!
May your day be filled with hugs, kisses and birthday wishes
May your birthday not be forgotten
And that you be spoiled rotten
But most of all today is your birthday, so hip hip hooray
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)