Mweee Uchawi huu kiboko:Kioja cha kinyesi cha vyuma mjini Mombasa
Kioja kimetokea katika mtaa wa Utange mjimi Mombasa ambako msichana mmoja adaiwa kunya vyuma kila anapoenda haja kubwa. Msichana huyo wa umri wa miaka kumi amekunya makasi, kisu na msumari. Wakaazi wa eneo hilo wanahusisha tukio hilo na ushirikina.
No comments:
Post a Comment