Pages

Saturday, 11 June 2011

KWELI KIFO KINAOGOPEKA JAMANI!!!!!!

Wafanyakazi wa eneo la Posta Jijini Dar es Salaam leo (Juni 10 2011) walikumbwa na tetemeko la ardhi. Watu wakatoka maofisini wakakimbilia nje lakini wakiwa chini ya magorofa, ni kutojua kama inawezekana gholofa nalo linaweza kutetemeka na kuanguka au? 

No comments:

Post a Comment