Welcome to MaMa J2 blog
News,Entertainment,Beauty,fashion,lifestyle and...Gossip
Pages
(Move to ...)
Home
Contacts
Advertise With us
▼
Thursday, 16 June 2011
WANAFUNZI WATIMULIWA UDOM.
ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) wamefukuzwa kwa muda usiojulikana kuanzia jana kwa madai ya kuhamasisha mgomo usio halali.
wanafunzi hao ni wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii na Sayansi Asilia.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment