Monday, 27 February 2012
KILIO KILIO TUMLILIE NANI? SIASA NA DINI VYOTE NI MACHAFUKO!!!
Machafuko ya kisiasa nchini senegal yamesababisha vifo vya watu watatu,,na machafuko hayo yantokana na Rais wa nchi hiyo bwana ABDOULAYE WADE mwenye miaka 85 kutaka kugombea awamu ya tatu.wananchi wanakipinga kitendo hicho kwani awamu yake ya pili imekwisha kutokana na mujibu wa katiba wa nchi hiyo.
MLIPUKO WA BOMU NIGERIA
Mlipuko mkubwa ulio tokea week hii katika kanisa wakati watu wakiwa kwenye ibada ya asubuhi ya jumapili kusini mwa Nigeria kusababisha baadhi ya watu kujeruiwa, Machafuko ya kidini kati ya wakristo na waislamu nchini Nigeria yamekuwa ni kitisho kikubwa cha wananchi, machafuko haya yanakuwa mabaya pale familia moja au ukoo mmoja una watu wa dini tofauti,ndipo ujikuta mnauwana wenye kwa wenyewe, MDAU TUMLILIE NANI? RAIS HATAKI KUTOKA MADARAKANI, DINI TUNAUWANA WENYEWE KWA WENYEWE,!!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment