VITUKO VYA UBAGUZI KWA WACHEZAJI MPIRA MBONA VINAZIDI?
Kwenye mechi ya jumamosi 11/02 2012 kati MANCHESTER UNITED v LIVERPOOL. kituko kingine kilijitokeza pale LUIS SUAREZ ambaye ni strike wa liverpool alipokataa kushikana mkono na PATRICE EVRA ambaye ni defender wa manchester united.swali la kujiuliza kwanini hivi vituko vimezidi kwa kasi sana.NAKUACHIA MDAU , DUNIA KUELIMISHA
No comments:
Post a Comment