Kufanya vitu kama hivi picha zinavyojieleza ndivyo tunaweza kuona jinsi gani akili zao zinavyofanya kazi kwa ubunifu,labda hata shule hawajaenda wanaweza kufanya maajabu hayo je wangesoma zaidi ingekuaje? serikali au watu binafsi wakiweza kuwasidia watu hawa watakuwa faida la taifa,UJUMBE KWA JAMIII TUWAWEZESHE ILI WAWEZE WENYEWE DUNIA KUJIFUNZA AU KUELIMISHA.
No comments:
Post a Comment