Mke wa marehemu Wastara Juma
Baba wa marehemu mzee Kilowoka
Mama mzazi wa marehemu wa kwanza kushoto
nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.
No comments:
Post a Comment