Familia ya Bwana Biswalo inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao BUYOYA PAUL BISWALO,kilichotokea Atlanta,Georgia Marekani.
Marehemu alipotea kwenye maji ya mto Chattahoochee Atlanta kaskazini mnamo 6Agosti 2013,jitihada za kumtafuta zilifanywa na mamlaka husika mpaka taarifa ya mauti zipothibitishwa
Tuungane na familia ya Marehemu katika wakati huu mgumu kwa kuipa faraja na maombi,pia Pia tutaendelea kuwapa taarifa zaidi na ratiba ya msiba
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment