Friday, 22 November 2013

VIDEO: Mtu mmoja amuua mwanamke na kujeruhi watu watatu na kasha kujiua.



Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mfanyabishara wa magari kutoka jijini Mwanza,amemuua mwanamke mmoja na kujeruhi vibaya watu watatu kwa kuwapiga risasi sehemu mbalimbali za miili yao katika eneo la ilala jijini Dar es Salaam na kisha kujiua mwenyewe kwa kujipiga risasi

No comments:

Post a Comment