Tanzania kuwa nchi ya kwanza na mradi wa mabasi ya majini.
Kwa Afrika, Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuwa na aina hii ya mradi wa mabasi ya majini.
Mabasi hayo yana uwezo wa kutembea nchi kavu na majini, hii ina maana kuwa yatasaidia kwa mfano kusafiri kutoka Posta kwenda maeneo mengine yoyote ya jiji ambayo yanafikiwa na bahari.
Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) inasema mradi huo unaweza kusaidia kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya usafirishaji nchini.
No comments:
Post a Comment