Jamani sidhani kama kibao kata ni kitu kinachofanana na Kitchen

Mpaka wanafikia hatua ya kuvua nguo wanamuonesha nini Mtoto anayekwenda kuolewa? hapa munamfunda nini?
Hii michezo katika Ndoa inasaidia nini?, hivi vitu vinamahusiano gani na Maisha ya ndoa waudhuriaji wakubwa mashoga, Wanawake mbona mnajidhallisha namna hii?
No comments:
Post a Comment