Thursday, 9 June 2011

KUTUMBUIZA WAGENI.


Wasanii wa kikundi cha ngoma za asili cha Afrikanashe, wakitumbuiza wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa kwa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), zilizofanyika kiwandani hapo jijini Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment