MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KWENYE MAZISHI NCHINI ISRAEL!!
Mamia ya watu wajitokeza kwenywe mazishi ya watu walio uwawa toulouse, nchini France,katika shambulio lilitokea nje ya shule ya waisrael(jewish),katika tukio hilo watu saba waliaaga dunia wakiwemo waisrael wanne ambao wamesafirishwa na kuzikwa Jerusalem,Israel 21march 2012 mtuhumiwa mohamed merah mwenye miaka 23 bado hajawa mikononi wa polisi!!!!
No comments:
Post a Comment