Wednesday, 11 April 2012
VIDEO YA MAMA YAKE LULU AKIWAHASA WATU WASIHUKUMU WALA KULALIA UPANDE MMOJA!!!
Mama yake Lulu anasikitika na kifo cha Kanumba kwani ni kama mwanae na alikuwa anamuita mama,pia anamsikitikia mwanaye Lulu ambaye yuko chini ya mikononi mwa sheria kutokana na kifo cha Kanumba,
amewaomba Watanzania wote, east africa na duniani kote waache kuhukumu waachie vyombo vya sheria vichukue mkondo wake na wasilalie upande mmoja!!
VIDEO NA JUKWAAHURU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mama Lulu ningekuwa mimi ni wewe nisingesema kitu kwa sasa. Binadamu ameumbiwa kusahau na muda unavyozidi kwenda taratibu machungu ya watu ya watu wengi yatapungua...
ReplyDeleteUle msemo wa kiswahili usemao asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu waukumbuka/waujua? ndo haya sasa yanayomkuta mwanao... hukujidhatiti katika malezi ya mwanao. Lulu ameanza kufanya haya maujinga muda mrefu sana na mengine twakuona naye mahakamani mnafanya ujinga pamoja...
Mahakama itaamua lakini usituambie tumsamehe, tutamsamehe kwa mangapi?
Muombeni sana Mwenyezi Mungu amsamehe maana yanayoandikwa kuhusu yeye si ya sisi kumsamehe. Nina hasira hata siwezi kuangalia hii clip ya huyu mama, hasira zangu si kwa kushukiwa kumuua Kanumba hapana ila kwa malezi mabaya ulompatia huyu mtoto.