Saturday, 7 April 2012

WADAU KWANINI KIZURI HAKIDUMU? Steven Kanumba on Oxfam's GROW campaign in Tanzania


Inasikitisha sana kijana mdogo mpiganaji, kuaga dunia na jamii bado ilikuwa inamuitaji pamoja na nchi yako tukiendelea sana kulalamika na kulia sana MWISHO TUTAMKUFURU MWENYEZI MUNGU.WADAUU LEO NI KILIO AMBACHO HAKIELEZEKI!!!!

No comments:

Post a Comment