Pages

Friday, 22 June 2012

SIKU ZOTE KUTOA NI MOYO SI.........

Msamalia mwema  Elizabeth Kilili aka Grace  vipodozi (kushoto) akikabithi sehemu ya msaada wa mafuta na shampoo kwa Alafa Ally(mama watatu),ubarikiwe sana na mungu kwaa roho ya upendo na utoaji
 UJUMBE KWA WADAU:mwenye msaada wowote wa kipesa,nguo,chakula hata nguo mpya au zilizokwisha valiwa usisite kumsaidia mama huyu mwenye watoto watatu wenye umri sawa.chochote kile ulichonacho kinafaa MUNGU AWABARIKI.

No comments:

Post a Comment