Monday, 28 October 2013

Kwanini wafanyakazi wa simu za mkononi(mobile phone) wanatoa siri za wateja?

Kumekuwa  na malalamiko mengi sana kuhusu swala la wafanyakazi wa simu za mkononi(mobile) kutoa siri za wateja pia kusababisha baadhi wa watu kupata matatizo makubwa kwenye maisha yao.
Baadhi ya ndoa,uchumba kuvunjika na familia kusambalatika kisa wafanyakazi wa simu utoa habari  pia na  kuvunja sheria za kampuni,ukiuliza mfanyakazi kapewa pesa au vijisenti kuharibu maisha ya mtu au watu
Je mambo haya  badoyanaendelea ?
Na kwanini hawachukuliwi hatua?
Waliajiliwa kutoa huduma kwa wateja au kutoa UDAKU?

CHUKUA HATUA MTEJA ILI KUKOMESHA NA KUTOKOMEZA HII TABIA.

VYOMBO VYA SHERIA VIKO KWA AJILI YAKO MTEJA

No comments:

Post a Comment