Thursday, 27 February 2014

Ushoga washika kasi nchini

WAKATI Uganda imepitisha sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia moja, hapa nchini hali ni mbaya zaidi kutokana na kuwepo kwa asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha na ushoga.
Kwa mujibu wa takwimu za maoni ya rasimu ya Katiba, asilimia 9.7 ya watu 105,969, walitaka suala la ndoa za jinsia moja liingizwe kwenye Katiba.
Takwimu hizo zinaonyesha kuwa maoni ya ushoga yamechangamkiwa sana kuliko haki nyingine za binadamu.
chanzo:tz daima

No comments:

Post a Comment