Monday, 7 April 2014

Soma alichokiandika Henry Kilewo kuhusu Riziwani Kikwete.


Riziwani hata kama Baba yako ni Rais huwezi kukosa Adabu kiasi hiki na kufikia hatua ya kumtukana na kumdhalilisha Mzee Warioba kiasi hiki... Tunakuhakikishia Heshima ya Mzee warioba haiwezi kuvunjwa na wauza sembe milele.... Warioba anaona mbali sana kuliko wewe na kizazi chako kwa miaka 50 ijayo au zaidi... Fuatilia hapo chini.

Photo: Riziwani hata kama Baba yako ni Rais huwezi kukosa Adabu kiasi hiki na kufikia hatua ya kumtukana na kumdhalilisha Mzee Warioba kiasi hiki... Tunakuhakikishia Heshima ya Mzee warioba haiwezi kuvunjwa na wauza sembe milele.... Warioba anaona mbali sana kuliko wewe na kizazi chako kwa miaka 50 ijayo au zaidi... Fuatilia hapo chini....
chanzo:fb

No comments:

Post a Comment