Saturday, 14 May 2011

MTANZANIA STAN MAGWANO MCHEZA MPIRA (USA)







Stan Magwano ni mwanafunzi katika Lee University Athlete,Clevelen Tn USA anasomea course ya Physicla Education Recreation.Pia ni mchezaji mpira anaekuja kwa kasi,Watanzania wote duniani tumpe Support kubwa sana.

No comments:

Post a Comment