MAMBO YA ELIMU HAYO!!!!!!!!!!
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyasa 1 iliyoko wilayani Nzege, mkoani Tabora, wakisoma vitabu vya kiada walivyokabidhiwa na kampuni ya tigo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 5. Hafla hiyo ilifanyika shuleni hapo juzi.
No comments:
Post a Comment