Monday, 19 December 2011

VIFO VYA ALBINO BADO VINAENDELEA?


HIZI SHIDA ZA MAALBINO BADO ZINAENDELEA? KAMA BADO KWELI NI AIBU KWA TANZANIA, NCHI NYINGI  ZINAJITANGAZA AU ZINATANGAZWA KWA MAMBO YA KIMAENDELEO SIO USHIRIKINA ULIOBEBWA NA UNYAMA.VIONGOZI WA NCHI KOMESHENI HII AIBU YA KIDUNIA AMBAYO TANZANIA INAPATA

No comments:

Post a Comment