Monday, 23 January 2012

"DEMU NOMAAA KWA MPIRA"NANI WA KUMUEZESHA?



Haya mungu kashampa kipaji nani wa  KUMUEZESHA(KUMTOA)?, na swali kubwa asaidiwe vipi ili maisha yake yabadilike?, kipaji alichonacho ni kikubwa sana, ili swala tusiliache njiani mpaka lipatiwe uvumbuzi.tusisahau usemi "WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA."

  MAONI YAKO MUHIMU MDAU,DUNIA KUELIMISHANA NA KUSAIDIANA

No comments:

Post a Comment