DR. PETER LAVOY AWAOMBA MSAMAHA WAISLAMU KWA KITENDO CHA KUCHOMWA MOTO QURAN
Kwa niaba ya Pentagon DR Peter lavoy aliwaomba msamaha waislam nchini America Virginia, kwa kitendo cha Jeshi la NATO linalotuhumiwa kwa kuchoma moto quran nchini Afghanistani tarehe 20 .2.12
No comments:
Post a Comment