Thursday, 29 March 2012

KUMBE MWANAMKE ANAWEZA HATA KUWINDA?

Vitu vingi sana mwanamke anaweza lakini swala la kujiamini bado nitatizo kubwa,jiamini Mwanamama ili uweze kwenda kuwinda swala,formula moja tu ya swala akikimbia mshale,akisimama mshale na akijificha mshale kaza boot akina mama tutasonga front kwa uwezo wa sir GOD

No comments:

Post a Comment