Monday, 2 April 2012

RAHA YA DUNIA NI WATOTO!!!

Raha ya dunia ni watoto hata kama unamawazo,shida za dunia zikikuzonga na mengineyo, wanaleta faraja kubwa sana katika maisha kama picha inavyojieleza!!!!

No comments:

Post a Comment