Monday 5 November 2012

BARAZA LA MAWAZIRI LATEULIWA SOMALIA!!!


Baraza hilo ni dogo sana likilinganishwa na yale yaliyopita, na litakuwa na mawaziri 10 tu.
Waandishi wa habari wanasema koo nyengine zinaona hazikupata wizara, na huenda ikawa shida kwa bunge kulikubali baraza hilo la mawaziri.
chanzo:bbc

No comments:

Post a Comment