Saturday 11 May 2013

Huu ndio mwonekano TUMIA PESA IKUZOEEEEEE wa WEMA SEPETU



Wema Sepetu  akiwa kwenye safari ya kuelekea Dodoma kwenye party ya uzinduzi wa msimu mpya wa Clouds FM Twenzetu na crew yake ya Endless Fame na watu kama PetitMan,TIntyDaddy na Kajala, kwenye gari ambalo yeye yupo ndani yake lilikuwa linapepea kibendelea cha logo ya kampuni yake Endless Fame.

No comments:

Post a Comment