Friday 7 June 2013

KHADIJA KOPA asindikizwa na baadhi ya viongozi kupanda ndege uku akilia kwa uchungu na majonzi



Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais)
chanzo:Lukaza blog

No comments:

Post a Comment