Tuesday, 13 August 2013

TANGAZO LA MSIBA ATLANTA,GEORGIA WA NDUGU YETU MAREHEMU BUYOYA PAUL BISWALO

                                                Marehemu Buyoya Paul enzi za uhai wake
Familia ya Bwana Biswalo inasikitika  kutangaza kifo cha  mpendwa wao BUYOYA PAUL BISWALO,kilichotokea Atlanta,Georgia Marekani.
Marehemu alipotea kwenye maji ya mto Chattahoochee Atlanta kaskazini mnamo 6Agosti 2013,jitihada za kumtafuta zilifanywa na mamlaka husika mpaka taarifa ya mauti zipothibitishwa
Tuungane na familia ya Marehemu katika wakati huu mgumu kwa kuipa  faraja na maombi,pia Pia tutaendelea kuwapa taarifa zaidi  na ratiba ya msiba
         
                                   BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments:

Post a Comment