Monday, 24 March 2014

Ngoma ya kibao kata yachochea ufuska na kufuru kwa Mungu


Jamani sidhani kama kibao kata ni kitu kinachofanana na Kitchen part, Kibao kata nadhani inafanana sana na Chakacha, hii ngoma ya Mashoga na wanawake wenye mitazamo na wenye ushirika mkuu na mashoga 

 Mpaka wanafikia hatua ya kuvua nguo wanamuonesha nini Mtoto anayekwenda kuolewa? hapa munamfunda nini?

Hii michezo katika Ndoa inasaidia nini?, hivi vitu vinamahusiano gani na Maisha ya ndoa waudhuriaji wakubwa mashoga, Wanawake mbona mnajidhallisha namna hii?

No comments:

Post a Comment