Sunday, 22 May 2011

NI AJALI ILIYOWALIZA SANA WATANZANIA, MV BUKOBA!!!!!!



KILA INAPOFIKIA TAREHE 21 MEI, WATANZANIA HUPATWA NA UCHUNGU SANA KWA SABABU TAREHE KAMA HIYO MWAKA 1996, ROHO NYINGI ZA WATANZANIA WENZETU ZILIPOTEA KWENYE ZIWA VICTORIA WALIPOKUWA KWENYE MELI YA MV     
BUKOBA WAKITOKEA BUKOBA MKOANI KAGERA KWENDA MKOANI MWANZA. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU WAPENDWA WETU, AMINA!




No comments:

Post a Comment