Saturday, 21 May 2011

MAMBO YA FILAMU TZ ( BONGO WOOD)

MWIGIZAJI wa mjini hapa, Kajala  Masanja, amejikuta akipewa jina la utani la Gennevive Nnaji kutokana na kuigiza kama mpenzi wa Ramsey katika filamu ya ‘Devil Kingdom’.
Mwigizaji huyo amefananishwa na Nnaj kwa kuwa wawili hawa wamekuwa wanaonekana mara kadhaa wakiigiza kama mtu na mpenzi wake.

No comments:

Post a Comment