Saturday 29 October 2011

DIAMOND KUMWAGA VYANDARUA TANDALE!!!!!


Mwanamuziki wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Diamond atafanya tamasha la kuwa vyandarua kwenye eneo lake anloishi. Hiyo ni kama shukrani kwa watu wake kwa sapoti wanayompa kwenye kazi yake ya muziki. Vile vule yeye ni balozi wa maralia nchini hivyo kutoa vyandarua itawasaidia sana watu wake katika kupambana na marali. 

akizungumzia sababu zinazomfanya awe na mama yake kila anapokwenda kuburudisha, Diamond amesema kwamba amekuwa akimwalika mama yake kila anapokwenda kuburudisha ili mama yake aone kazi anoyofanya kwani akizingatia ni kwamba amemlea kwa shida sana kwa sababu baba yake alimkataa.

Haya Diamond tunakutakia kila la kheri katika swala la kupambana na Malaria nchini!


No comments:

Post a Comment