Monday 13 February 2012

KUKU NI KUKU JOGOO NI JINA ATIMAYE ZAMBIA YAWA JOGOO LA AFRICA!!!!!










 Zambia yaibuka kuwa mshindi kwa penalty 8-7 ilpocheza na timu ya Ivory cost katika uwanja wa De L'amitie katika mji wa Libreville GABON,kwa kweli mechi ilikuwa ngumu sana,ukizingatia Ivory Cost (JOGOO) inawa wachezaji wengi ambao wanachezea nchi ulaya lakini Zambia hawakuliogopa ilo( mchicha usimuoge mbuyu).Stophira Sunzu aliinyanyua Zambia kwa kufunga penalty,napenda kuwasalute KATONGO,MWEENE,SUNZU na wachezaji wote  wa zambia.......IGWEEEEEEE,

No comments:

Post a Comment