MAZISHI YA MAMA/BIBI YETU MPENDWA BENITHA LILIAN KALANJE.
MSIBA ULIYOTOKEA 15/01/2012 NYUMBANI KWAKE UPANGA, KALENGA/ISMAN SREET .MAZISHI YALIYOFANYIKA KATIKA MAKABURI YA KIANGLIKANA BUGURUNI ,BAADA YA MISA ILYOSOMWA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU ALBANO DAR-ES SALAAM.
FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PATRICK S KALANJE,INAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WALE WOTE WALIO JITOA KWA HALI NA MALI KUWEZESHA KUFANIKISHA SAFARI YA MWISHO YA MAMA/BIBI YETU MPENDWA BENITHA LILIAN KALANJE
ABWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Poleni sana may her soul R.I.P
ReplyDelete