Wednesday, 4 April 2012

ASHIKWA NA UCHAWI,AMBULIA KIPIGO KIKALI NA KUBAKWA!!!



mwanamke aliyejulikana kwa jina Mary Mbaga(70) anayeishi Kinondoni Shamba,jiji Dar-es-saaam amepata kipigo kikali kwa wananchi wakidai amekula nyama ya mtoto aliyekuwa amefariki dunia mwenye umri wa mwaka mmoja.

Baada ya kumpiga mtaani wakampeleka kwenye uwanja wa mpira uliopo karibu na tukio nakuanza kumbaka kwa zamu mpaka 12:00asubuhi aliokolewa na polisi wa doria huku mwili wake ukiwa umelowa damu!!!

SWALI KWA WADAU JE NI HAKI KWA HUYU BIBI KUBAKWA KWA ZAMU NA VIJANA HAO PIA NA KIPIGO JUU?JE NAO VIJANA WALIVYOKUWA WANAPEANA ZAMU YA UBAKAJI WALITUMIA KINGA? WADAU MAONI YENU PLEASE DUNIA KUELIMISHANA!!!

Ndugu yetu Deo mutta mwatanga alikuwepo kwenye hilo tukio la kipigo nakubakwa kwa huyo mama.

2 comments:

  1. KAMA NI KWELI HUYU MAMA ALIOYAFANYA NI HAKI YAKE KIPIGO KUTOKANA NA UMRI HUU ALIONAO HASTAHIKI TENA KUFANYA MAMBO HAYA KUBAKWA NI HAKI YAKE NI FUNDISHO KWA WENGINE IKIWA WANAFANYA WATAOGOPA NA IKIWA WANATAKA KUFANYA PIA WATAOGOPA OR MNASEMAJE WENZANGU

    ReplyDelete
  2. Unyama huu na uzalilishaji wa namna hii nadhani inabidi TAMWA wainglie kati. Yawezekana kweli mama huyu ni Mchawi lakini HUKUMU aliyopewa je ilimstahili???? Waliohusika kwenye tukio hili Dhalimu ni vema wakafikishwa kwenye Vyombo vya dola kujibu TUHUMA za UBAKAJI. Watoto wa mama huyu wako mbioni kufungua kesi ya kuzalilishwa kwa mama yao. Dunia sasa yaelekea ukingoni.... Very Bad

    ReplyDelete