WADAU HIZI NI SERA ZA CCM AU NI KUCHAMBANA?: Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru!!!!!!
Wadau mhh!!!! hizi ni sera za ccm au ni kuchambana? wadau sikilizeni kwenye hii video,hakuna hata sera za kubadilisha nchi au faida ya ccm ila tu ni kashfa tu,swali kwa wadau wananchi walikuwa wanashangilia nini? je sera hizi zinamanufaa kwa nchi au zimewaelimisha wananchi? au wamejifunza nini wananchi?KAZI KWAKO MDAU!!!!!!
No comments:
Post a Comment