Tuesday, 3 April 2012

BAO LA KETE :na bwana Andrew Chale!! !!!!

Unaujua mchezo wa 'kikubwa' aaah bao la kete hilo ndani ya Mabwepande.. je mchezo huu uliwahi kuucheza?? nimekukumbusha wapi hapa?MDAU MAJIBU KWA BWANA ANDREW CHALE

4 comments:

  1. bao la kete limenikumbusha enziiii za mwalimu ugali nanguru wa kuchoma

    ReplyDelete
  2. bao hili nilikuwa nalipenda sana,yani umenikumbusha mbali sana big up na hiyo bao la kete

    ReplyDelete
  3. vipi na ile radio mkulima mnaikumbuka?

    ReplyDelete
  4. haya mambo ya longtime kitambo

    ReplyDelete