Saturday, 7 April 2012
BURIANI STEVE KANUMBA NA UMEACHA KILIO NA SIMANZI KWA WATANZANIA NA VIDEO YA Brenda Fassie Soon and Very Soon
Ni habari za kusikitisha na ambazo zimejaa machonzi kwa watanzania wote pamoja na washabiki wote wa bongo movie kuwa STEVE CHARLES KANUMBA kuaga dunia,chanzo cha mauti yake inasemekana alipata ajali nakuumia sehemu za kichwani,Taarifa kamili tusubiri kutoka kwa familia yake itakaopotamka rasmi chanzo cha kifo chake,TULIKUPENDA SANA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI!!
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,JINA LAKE LIHIMIDIWE!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment