UREMBO WA KICHWANI RAHA YAKE KUREMBEKA !!!PENDA CHAKO MWAFRIKA!!!
Mavazi ya afrika yana mvuto mzuri sana ila kinachotakiwa kabla mtu mwingine kuthamini inabidi mwafrika mwenyewe athamini kitu chake ndipo wengine watakithamini kama vile WAINDI NA VITU VYAO KUANZIA MOVIE ,CHAKULA MPAKA MAVAZI YAO!!!!!
No comments:
Post a Comment