Sunday, 8 April 2012

KALALE PEMA PEPONI SHUJAA NA MSAIDIZI WA KIKWETE!!!!!!








Wala siyo uongo unaposikia watu wakisema kwamba Marehemu Steven Kanumba alikuwa shujaa wa Rais Kikwete, kupitia tasnia yake ya filamu nchini. 
Kanumba ameweza kumsaidia sana Kikwete kwa kupunguza tatizo la ajira kwa watanzania, ukizingatia ndiyo swala ambalo ni changamoto kubwa kwa Rais Kikwete.

No comments:

Post a Comment