Tuesday, 17 April 2012

MWEE YA DUNIA NI MENGI!WENGINE PANYA WAMGEUZA KITOWEO!WENGINE NDIO MUNGU WAO: Rat Temple in India

                                         Mishikaki ya chamaki nchanga

Wadau tembea uone swala la panya kuwa kitoweo ili sio jambo geni sana kutokana na lile jina la "chamaki nchanga" wengi wao kulijua,Utata mkubwa ni pale unapoambiwa kama panya  watu wengine wanamsujudu kama mungu wao,lakini dunia kila mtu anamawazo yake na imani zake na matakwa yake,kwahiyo tueshimu kila kitu kimfaacho na matakwa au imani yake.Wadauu msisahau kuangalia hiyo video muone jinsi panya anavyoabudiwaa au wanavyomsujudu!!!!!!! 

No comments:

Post a Comment